PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,767
- 19,301
Mchezaji huyo wa zamani wa Newcastle, Tottenham na timu ya taifa ya Uingereza juzi alipigwa picha na majirani zake akiwa kwenye hali ya kusikitisha wakati anachukua taxi kwenda kununua pombe na sigara. Gazza alionekana katikati ya mtaa akiwa amevaa "dressing gown" bila hata nguo ya ndani (kufuli) huku akiwa peku peku bila viatu.