Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,836
Nimefuatilia muziki wa hiphop toka unaingia bongo(kwa maana ya bongo hiphop)Media zimechangia kuuwa hiphop.wanasema hiphop ni controves kwa maana bila ya beef hakuna hiphop.Tukumbuke TMK vs East coast by that time hakuna mtu alikuwa anasikiliza wabana pua..beef za hiphop hazipewi kipaumbele badala yake unasilkia beef ya Kiba na Mondi ya kugombania wasichana.
Kweli media za bongo wabana pua wana nguvu kuliko mcs.Tunaona kwenye matamasha jinsi hiphop inavyofunika bovu.kama hamuoni umuhimu wa hiphop fanyeni matamasha yenu bila hiphop muone kama kutakuwa na tofauti na Ngwasuma
NB:Mamc najua mnakatazwa na media kuwa na "good beef" kwa maana wanajua mtawafunika wabana pua.ila msiwe macoward kama umemchana mtu kwenye verse usikatae kumtaja.Napenda beef kati ya joe makini vs fid q...godzilla vs billnass.....fa vs jay(ukitilia maanani wana itikadi tofauti)etc unaweza kuendelea kutaja zako.