Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss...
Watu wengi tunafahamu kuhusu msanii Chidi Benz alivyoathirika na madawa. Ninachokiomba kwa Babu Tale amsaidie Chidi peke yake bila kumhusisha na WCB.
Kwani kuna uwezekano mkubwa wa label hiyo...
Daah goma limesimama hatari chid benz karudi vyema sama aisee...dude linaitwa "Chuma" take ur time to listen hilo kitu utakubali....
bravo chid ila usivimbe kichwa na vishoo utakavyo anza kupiga...
Licha ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuibuka na kukanusha sakata lao la kurudiana, bado madai ya wawili hao...
Nakereka sana napoona vijana wengi wadogo wanapotea baada ya kujiingiza kwenye maswala ya muziki, kuigiza, mashindano ya miss sehemu flani, miss tanzania, michezo ya mpira, netball na dancing...
Wanajamvi, tumeweza kushuhudia hivi sasa ushindani mkali katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, wasanii wengi wakijitahidi kufanya kila liwezekanalo, ili mradi aweze kusikika au kukubalika, wapo...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na msanii Ney wa Mitego kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...
Moja ya vichwa navyo vielewaga kwenye game ya bongo sitomwacha kumtaja msanii na mtunzi Barnaba anajielewa sana ni ngumu kumkuta anapost ujinga au kuongea kwenye media kitu kitakacho wakwaza...
Lile timbwili la madale bado linaendelea kuwaka moto , hivi karibuni mzazi mwenzie na diamond, zari amepost picha akiwa na mama yake mzazi huku akimwagia sifa kem kem kuwa mama yake huyo ana...
Wana JF,
Leo nawaletea mwandishi wa habari wa Tanzania ambaye anajua mambo mengi sana iwe kwenye nyanja ya afya,uchumi,siasa,biashara na hata kijamii pia
Jina lake kamili ni Kibwana Mustapha...
Sasa dull wa planet bongo eatv kwa sasa atakuwa anawapa tabu team nzima ya xxl kutokana uwezo wake na ubunifu alionao huyu kijana na kujituma.
katika radio zilizokuwa zinasikilizwa sana mchana ni...
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na...
Ni muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na...
Msanii Bongo Fleva Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" ahojiwa na Polisi, Kamanda Kanda Maalum Dar Simon Sirro athibitisha leo bila maelezo zaidi.
Ney wa Mtego ahojiwa polisi
Msanii wa muziki wa...
TBT- I wish R.I.P could stand for Return If Possible Albert Mangwea wewe ulikuwa hazina ya Bongo Flava kwa ubora wa karama yako ya Freestyle na tungo za utundu na ubunifu wa maneno ,Ngwear...
Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.