sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 947
- 3,642
Kama umeingia instagram kuanzia jana utakuwa umeona kivumbi kinachotimka kwenye familia ya Diamond Platinumz.
Picha halisi ya kinachoendelea ilionekana kwenye birthday party ya mama yake Diamond.
Imedhiilika kwamba Diamond anachepuka na mzazi mwenzie na Majay yani bi dada Hamisa Mobeto na kuwadi ni dada yake Diamond aitwae Esma. Wataalam wa udaku wanasema kisa haswa cha Esma kumkuwadia Hamisa kwa Diamond ni bifu lilipo kati yao Zari na Esma, pia mama Diamond ameshamchoka Zari anataka atafute demu mwingine. Kwa hiyo wanafanya kila mbinu wawatenganishe.
Vituko vilivyotokea ni pamoja na mbeba keki alikuwa ni Hamisa Mobeto ambae sio part ya familia(maswali yakawa yupo mbele mbele kama nani)... Kingine ni mama Diamond kumlisha Zari keki kwa mkono wa kushoto.. Na funga kazi ni taarab alizopigiwa ni playlist iliyoandaliwa kumpiga vijembe Zari.. Kilichoendelea ni Zari kukosa furaha waziwazi akawa km kavamia sherehe maana ni kama walikuwa wanampotezea akabaki kuangaika na Diamond wake.
Hivi vituko havijaanza juzi ni muda mrefu walianza na kumpelekea D video queen wa video ya Kwetu na mama na dada wakakomaa azamie mazima lakini ishu ikafika media mipango ikafia hapo. Lakini inaonekana hawajachoka.
Sababu yao kubwa wanasema Zari anadharau. Japo wataalam wa mambo wananena kuwa tatizo ni Chibu kuzidishia mahaba kwa Zari na kupunguza nyumbani kwa mama.
All in all hizi drama sio mpya kwenye familia zetu za kiswahili. Ndoa nyingi na uchumba umevunjwa na ndugu haswa mawifi na wakwe, wengi utamani wawe na nafasi kubwa kwenye moyo wa kijana wa kiume. Ikiwa kinyume cha hapo zitakuwa story kaka anapelekeshwa, wifi anaringa, mkwe anadharau. Diamond inabidi asimame imara kama mtoto wa kiume kuakikisha familia yake inasimama sababu kaleta muunganiko wa watu wenye different background lazima migongano iwepo.
Adios!