Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Watu wengi tunafahamu kuhusu msanii Chidi Benz alivyoathirika na madawa. Ninachokiomba kwa Babu Tale amsaidie Chidi peke yake bila kumhusisha na WCB.
Kwani kuna uwezekano mkubwa wa label hiyo kutiwa doa maana wengi tunaelewa kashfa hiyo inavyoweza kumshusha msanii kimuziki. Na kama atahitaji kudumu kwenye game ni vizuri kujiepusha na kashfa hizi kwani hazijengi.
Narudia tena Chidi asaidiwe yeye kimuziki sio kuhusishwa na wasanii wa WCB. WCB leo naona kuna wimbo mpya umetoka wa Chidi Benz kamshirikisha Raymond wa WCB. Tale usituharibie kundi fikiria maamuzi yako kama yana tija.