Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Sasa dull wa planet bongo eatv kwa sasa atakuwa anawapa tabu team nzima ya xxl kutokana uwezo wake na ubunifu alionao huyu kijana na kujituma.
katika radio zilizokuwa zinasikilizwa sana mchana ni hii ya xxl ila kwa sasa kama watu wamekubali sana planet bongo kila mtaa mchana watu wameitegea eatv naweza nikatoa fifte fifte katika hivi vipindi viwili hapa mjini kutoka na xxl bado wana uzoefu