GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
TBT- I wish R.I.P could stand for Return If Possible Albert Mangwea wewe ulikuwa hazina ya Bongo Flava kwa ubora wa karama yako ya Freestyle na tungo za utundu na ubunifu wa maneno ,Ngwear Ft Darkmasta- Nipeni Dili moja kati ya ngoma nzuri na tamu kuisikiliza .
Ningekuwa Events manager wa radio ya Tbc ningekuwa na andaa kila mwezi concert zenye tija za wanamusic wote walio tangulia mbele ya haki kwa kutengeneza Ticket , T-Shirt na Shows za mtu husika na kuziuza na pesa zitakazo patikana kupewa familia ya mtu husika.
Serikali yetu haithamini karama/vipawa vya watazania walio hai na walio tangulia mbele ya haki ambao walifanya kazi kubwa katika kuelimisha jamii na kuiburudisha kwa kupitia tasnia ya burudani sababu viongozi husika hawana utashi wala maarifa ya kufanya hivyo.
Marijani Rajabu ,Tx Mushi ,Remmy Ongala,Steven Kanumba familia zao hawapati matunda ya karama za wazazi/watoto wao sababu ni moja tu hakuna miundo mbinu rafiki ya kuwapatia matunda ya kazi zao sababu ya udogo wa ufinyu wa maarifa ya viongozi wote na wafanyakazi wote wa wizara husika katika tasnia ya burudani.
Muhidini Ngurumo Rest In Heaven mzee wangu kuna siku tutaanza kuajiri watu kwa kuangalia utashi na ubunifu na sio vyeti na surname ili familia mlizoziacha zifaidike na karama pamoja na tungo mlizotuachia na popote mlipo mtakuwa mkicheka kwa furaha na amani
A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others.