warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Lile timbwili la madale bado linaendelea kuwaka moto , hivi karibuni mzazi mwenzie na diamond, zari amepost picha akiwa na mama yake mzazi huku akimwagia sifa kem kem kuwa mama yake huyo ana tabia nzuri ,ana hekima na kumfananisha na queen ,kitendo hicho kimetafsiriwa na wapenda ubuyu mjini kuwa zari alimrushia dongo mama wa mzazi mwenzie diamond ambaye amekua na sifa ya kuwa mkorofi,mshari na asiyependa amani na mkwe wake huyo mtarajiwa