Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Moja ya vichwa navyo vielewaga kwenye game ya bongo sitomwacha kumtaja msanii na mtunzi Barnaba anajielewa sana ni ngumu kumkuta anapost ujinga au kuongea kwenye media kitu kitakacho wakwaza wananchi.
Kwangu naweza sema ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba ila anajisahau sana katika kazi, hapa kati katoa nyimbo nzuri zaidi ya hizi nazozisikia inaitwa nakutunza lakini mpaka leo ajafanya video, kuna nyimbo pia inaitwa wanifaa ni nyimbo nzuri lakini mpaka leo kimya hamna video hamna promo yoyote.