Ngoma mpya ya Chidi Benz ft Raymond

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Daah goma limesimama hatari chid benz karudi vyema sama aisee...dude linaitwa "Chuma" take ur time to listen hilo kitu utakubali....

bravo chid ila usivimbe kichwa na vishoo utakavyo anza kupiga then ukajiona umepona ukaanza mdogo mdogo kuvuta ngada.
 
Usitoe post kimwendokasi, tuliaaaa, weka link au hiyo ngoma kurahisisha mambo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom