Ferooz: Nimejifunza

Kazi anayo. Atafute wimbo mwingine

apewe airtime ndo itahit.. bongo imba mapenzi

Huyu nae atafute kazi nyingine tu.

hiyo track kaiimba vibaya ingawa idea yake ilikuwa nzuri

aisee atafute hata bodaboda tu sio lazima wote waimbe..

Mweeeehh....hadi huruma

Gari langu limenasa kwenye big G, piii piii pii piii. Jamaa anatia huruma
Usiombe dunia ikupe kisogo
 
Back
Top Bottom