Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
habari wanajukwaa!!!
nimekaa nimetafakari sana afu baadaye nikaanza kucheka mwenyewe nilipo anza kukumbuka vichekesho vya hawa jamaa (braza K, kingwendu na babu mkombe). Hawa jamaa kama tunavyo wajua ni wachekeshaji maarufu sana.
nime tafakari hivi hawa jamaa watatu wakiungana then wafanye kazi yao ya uchekeshaji kwa team work, si watatuvunjia mbavu zetu hawa?. Maana jamaa wamebarikiwa plus maubunifu mengi sana.
Natamani ije tokee siku hawa jamaa wakutanishwe pamoja, na wafanye kazi kwenye Tv/kampuni moja.
Ingawa Bubu Mkombe hata simsikii siku hizi sijui yuko wapi, mara ya mwisho nilimuona tbc 2. Kingwendu naye baada ya kugombea ubunge kawa kimnya sana.
...kama una maoni/dukuduku una karibishwa hapa....