Binti wa Mramba anafanana na mama Anna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa Mramba anafanana na mama Anna

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kaka Mkubwa, Dec 2, 2008.

 1. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #1
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Binti wa Mramba aliyefunga ndoa juzi alionekana kufanana sana na first lady wa awamu ya tatu, inakuwaje?
   
 2. share

  share JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 2,294
  Trophy Points: 280
  Mhh! hii nayo haijakaa vizuri. Kwani huyu binti ndiye Mramba aliyezaa na Anna? KAKA MKUBWA unataka kutuambia nini! Au una maana kaka (ndugu yeyote wa kiume) wa Anna naye kalipiza kisasi kwa kuzaa na mke wa Mramba?
   
 3. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #3
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  share mimi sina hakika na lolote ila ile sura ni kama ya mama mkubwa kabisa, labda wadau wanajua lolote ngoja tuwasikilize
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  I hope atakuwa ni yule aliye zaa na mama mkubwa...Cute at its best.
   
 5. N

  NTIRU Member

  #5
  Dec 2, 2008
  Joined: Sep 20, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengi hatukupata nafasi ya kuona picha yake. Ebu tuonyeshe picha hiyo.
   
 6. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #6
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimeattach ukishindwa iyon aicheck humu www.darhotwire.com/homepage yani vilevile na macho ya kulala yale
   

  Attached Files:

 7. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #7
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  samahani wakuu ni binti mramba si makamba! Bila shaka mnajua majina ya wazee wetu yanafanana na ni walewale kila kukicha
   
 8. N

  NTIRU Member

  #8
  Dec 2, 2008
  Joined: Sep 20, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KAKA MKUBWA,
  Asante kwa kutuletea picha ya binti mramba. Ni kweli anayemjua 1st Lady wa tatu hawezi kuwa na shaka kuwa binti huyu ni mzaliwa na Lady huyo. Inaelekea huyo ndiye mtoto aliyekuwa akisemwa kuwa ni mzawa wa mramba na 1st laday huyo.
   
 9. share

  share JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 2,294
  Trophy Points: 280
  Duh! kama ndiye yeye toka tumboni kwa mama mkubwa, basi waliokuwepo kwenye sherehe watutonye iwapo mama mkubwa na/au BWM wa/alikuwepo. Mikao na mimacho yao ilikuwajewaje pale kwenye mishuguliko. Si unajua tena kwenye masuala haya, unaweza kujikausha lakini stepu fulanifulani unajisahau.
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Furaha iliyoje mtoto aliyezaliwa na mke wa mramba kufanana na mama mkubwa wa zamani wa baba???? Leteni picha za harusi na send off hapa jamani.
   
 11. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2008
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mkuu, una lako jambo!! sioni kama wanafanana kwa lolote wala chochote!! Anyway, tusubiri na wengine waseme wanachoona.....! ;)
   
 12. Faith

  Faith Member

  #12
  Dec 2, 2008
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  angalia yangu ya harakaharaka naona km 'anafanania kwa mthee' mwenyewe mramba
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Dec 2, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  She is cute though
   
 14. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2008
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Du ila kweli wajameni
   
 15. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  watu hufanana, anayemwa kuwa mama ana mkapa alizaa na mramba ni peter samson maro, director general of simu200ltd, a former lecturer at ardhi university.

  lakini mramba himself one day denied this, it was 2004 when i asked him about that while he was our Rc at mbeya

  i also spent almost 4 years with peter samson maro at uclas, hata siku moja hakuwahi kuhisiwa hilo, ila tulilokuwa tunajua ni kuwa ingawa ni mtoto wa mama ana mkapa hakuwa mtoto wa mkapa

  kuna kisa kimoja kilitokea 1999, when mzee samson maro, baba yake na ana mkapa, sent someone dickson , ambaye alikuja uclas na kutuomba tumkataze tabia ailiyoanza ya peter kwenda kwa mama yake wakati huo akina mkapa wanaishi pale karibu na agha khan nasikia ndo nyumba ya mkapa mpaka leo

  peter maro anatumia ubini na jina la babu yake mzaa mama yaani samson maro. ninajua ni member humo jamvini ni vema akaliweka hili wazi
   
 16. M

  Masatu JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This is wot w r best at......
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2008
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Duh kweli huyu binti kama si mtoto wa mama mkapa basi yatakuwa ni maajabu ya nane ya dunia.Huyu jamaa aliyemwoa huyu binti nadhani alishastukia kuna deal kwa Mramba {fedha za EPA,ALEX,na nk}kwasababu sura ya binti Mramba katika umri huu iko hivi je baada ya miaka kumi itakuwaje ?.Yaani jamaa anaonekana kipusa kuliko mwanamke!.
   
 18. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Basi waliokuwepo kwenye hiyo harusi watueleze ninani alisimama kama mama mzazi wa binti huyo kwenye hiyo harusi japokuwa baba alikuwa Keko. Je hakuwa na mzazi mwingine pale? Nilisoma kwenye gazeti moja kuwa mama Mkapa alifika kwenye kanisa la Mt.Joseph akamtuma mtu kwenda kuongea na mlinzi pale kanisani. Na baadae ikaonekana kuwa harusi haitafungwa pale kanisani, je kwa nini huyu mama Mkapa alikuwa akihaha hivyo siku hiyo ya harusi.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  JF bwana kwanini msiseme amefanana na Ben Mkapa?
   
 20. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JF wachokozi!
   
Loading...