kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Habari yako Dada mkubwa?
Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, hasa majukumu yako mazito ya kutupa burudani Watanzania tunao kadiliwa milion 55.
Dada wewe ni dada mkubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, tafadhali tupe neno mioyo yetu ipone maana hali nini tete na ukizingatia wewe ni mwana Dar es salaam original.
Pili naleta ombi langu kwako tafadhali sana, fanya ukomavu wa kiutu uzima nenda kawape pole Clouds maana hii vita ni kubwa sana.
Tusahau yaliopita tuje kwa upamoja kwa faida ya Watanzania.
Mwisho kabisa nawapenda sana Watanzania wenzangu hasa wa Jamiiforum maana ni zaidi ya ndugu.