bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Aliitwa Norval Sinclair Marley, alizaliwa mwaka 1881, alikuwa captain na pia baadae alikuja kuwa msimamizi mkuu wa mashamba makubwa huko Jamaica.
Alikutana Na mama yake Bob akiwa Na miaka 60 wakati huo mama yake Bob akiwa Na miaka 18, akijulikana kwa jina la Cedella Editha Marley,
Mara baada ya kuzaliwa Bob Marley mwaka 1945 baba yake na mama yake walitengana. Miaka kumi baadae (1955) baba yake Bob Marley alifariki.
Bob katika maisha yake ilikuwa ni Mara chache Sana kumtaja baba kwa kuwa hakumjua kutokana na kwamba hakukulia au hakupata malezi ya baba.
Pichani: Baba na Mama wa Bob Marley