Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,516
1,776
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
 
nikisilizaga mwimbo wa sumu ile verse ya mwisho "hawaamini kuunda kiba wawili,wanachoamini kumshusha mmoja ........." Ndo kitu mtoa mada anachojaribu kukifanya haamini katika kuunda wakina kiba wakina samattaa wakina diamond wengi zaidi anachoamini ni kuwashindanisha ila kujua nani zaidi ni upuuuzi kiwango A
 
wew

unajuaga siasa tu na kumdiss bashite so fia mbele
nyie ndio waanzilishi wa makundi ya ajabu ajabu yasio na mbele wala nyuma,wote hao wanafaa kuwakilisha taifa tunahitaji wengi zaidi ya hao na sio muda wa kulinganisha nani anafaa kuwakilisha nani hafai ni upuuzi.....ndomana hatuendelei kwa vitu vya kipuuzi kama hivi
 
kwa sasa Tanzania tunao vipaji mbalimbali katika sekta za michezo,,je kati ya samatta,kiba na diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa, na nani ni more celebrites hapa bongo?
Emu acha unaa, unaanzaje kumsahau HAMORAPA?
 
kwa sasa Tanzania tunao vipaji mbalimbali katika sekta za michezo,,je kati ya samatta,kiba na diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa, na nani ni more celebrites hapa bongo?
Diamond Platinum

Hawezi kuwa Sammata kwa sababu ni watu wachache sana wanafatilia masuala ya mpira lakini mziki unafatiliwa na kila rika

Pia sammata anasikika mara nyingi kama akishinda goli ndio habari zake usambaa

So diamond ndio more celeb kuliko hao wengine
 
Back
Top Bottom