Alichoongea Ney wa Mitego baada ya kutoka Central Police

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
Ney wa Mitego amewashukuru wasanii wote walioonyesha sapoti kwake kipindi alichokuwa matatizoni
pia amemshukuru Rais Magufuli na waziri wake Mwakyembe, ila kuhusu kuonana na Mwakyembe Dodoma kama waziri alivyotaka amesema mpaka afikirie kwanza
 
. ..THIS IS ....THE ONE MAN SHOW....Aibu kwa BASATA....Mkuu naomba uifungulie na ile video ya CHURA....Ni ombi MKUU..Hakuna kinachoshindikana kwako.....NA BASHITE ANAIPENDA KWELI HIYO VIDEO...Wewe muulize tu MKUU atakwambia ukweli...Si kweli Bashite...!?
 
Huyu Ney nae kichwa sana,kwamba atafikiria aende ama asiende dodoma,safi sana ,
watu wenyewe hawa hawachelewi kuwageuka na kuwaweka ndani
 
Back
Top Bottom