Ney wa Mitego: Magufuli akiniuliza nani hana marinda nitamjibu hivi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
Msanii huyu alikuwa akihojiwa kipindi cha XXL clouds FM alipoulizwa atakapoitwa na Rais na kuulizwa swali hilo atajibu vipi.

Alisema pale anamaanisha marinda anamaanisha nguo zilizowekewa marinda kama sketi, suti kuna marinda yanawekwa, sasa watu ambao hawana marinda wanakuwa hawana marinda..



Pia alifafanua kuhusu post yake ya Instagram aliyodai anatishiwa na kusema ni kweli anatishiwa japohakuwataja ni akina nani na suala hilo amelifikisha polisi.

Amesema kuna watu ambao hawakupendezwa na ule wimbo na wanamtisha hadi mama yake na wapo waliomshauri ahame nchi.

 
na huu ndio utata wa nyimbo ya jamaa anaposema kuna watu hawana marinda ana maanisha nini.
 
Back
Top Bottom