Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Jana Diamond alionekana akizindua mradi. Nilishikwa nabutwaa kwani ni awamu hii tu ambapo hadi wasanii wanaenda kuzindua miradi kwa kuta utepe.

diamond45.png

 
Bora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Watu mnajua kujisahaulisha wauza ngada wote walio tajwa ni wafuasi wazuri sana wa chama ila mnajifanya wwehu mnahamisha tuhuma kwa wasio na tuhuma aisee vijana wenzangu UVCCM kweli mlinyimwa akili na maarifa ndio maana mazao yenu yana score zero kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom