Mwakyembe awaita Diamond na Ali Kiba Dodoma kumaliza bifu

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mwakyembe amesema kupitia yeye ni lazima Diamond na Ali Kiba wakae pamoja kwa kuwa yeye ni baba yao, amemuagiza mkurugenzi anayehusika awapelekee ujumbe huo

Mwakyembe amesema kupitia yeye ni lazima Diamond na Ali Kiba wakae pamoja kwa kuwa yeye ni baba yao, amemuagiza mkurugenzi anayehusika awapelekee ujumbe huo

Nadhani angewaita Makonda na Clouds au Vyombo vya Habari vyote vya Tanzania ili aweze kuondoa tofauti zao ningemwona wa maana mno ila kwa upuuzi huo anaotarajia kuufanya sasa GENTAMYCINE natangaza rasmi kutoitambua Shahada ya Uzamivu ( Philosophy of Doctorate / PhD ) ya Bwana Harrison Mwakyembe na pia sasa nitaanza kuwatilia shaka wale wote wenye PhD zao hapa nchini Tanzania.
 
Kwani siku hizi mganga anamfuata mwenye shida? kwani kina Diamond na Kiba wana Bifu? Mashabiki wao ndio wana bifu wao hawana tatizo lolote, by the way inamaana waziri hajui kuwa bifu la hao viumbe ni la kibiashara zaidi? Hata kama mkubwa anatakiwa kumwamrisha mdogo but NOT TO THAT EXTENT.
 
Ajifunze kwanza biashara ya muziki#maana hata mi najua kiba na diamond hawana bifu ila ni market strategy inayowanufaisha wote#
Mbona hili dogo sana alipaswa kulijua mapema
 
Nadhani angewaita Makonda na Clouds au Vyombo vya Habari vyote vya Tanzania ili aweze kuondoa tofauti zao ningemwona wa maana mno ila kwa upuuzi huo anaotarajia kuufanya sasa GENTAMYCINE natangaza rasmi kutoitambua Shahada ya Uzamivu ( Philosophy of Doctorate / PhD ) ya Bwana Harrison Mwakyembe na pia sasa nitaanza kuwatilia shaka wale wote wenye PhD zao hapa nchini Tanzania.
Hawa jamaa ndio wana fanya watu tusipende kusoma PhD kwa sababu ya upuuz wao
 
Uyu mzee anatafuta kiki kwa kulazimisha..kuna riadha,baiskel na soka ktk vyote yeye ameona kipaumbele ni diamond na kiba..ili zee
 
Dah tangu akane andiko lake kuhusu muungano naona ile From Hero to Zero sasa inaelekea -10....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom