MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Nawapenda mno akina Abdallah Mwaipaya na mwenzie Farhia Middle hasa wakiwa katika Kipindi chao cha Jumapili cha familia. Wana sauti nzuri, wacheshi na wanajua kuendesha vizuri hicho Kipindi chao na chemistry yao ni nzuri sana hadi natamani hata wangekuwa labda wameona na wanaishi pamoja kwani wanapendezana mno.
Hivi hawa Watangazaji haiwezekani tu wakaamua kufunga Ndoa ili waishi pamoja kusudi huku kupendezana Kwao kusiwe kunaishia tu Kipindini Radio One bali wawe hivyo hadi huko Kwao?
Nawapenda sana jamani na naomba wasiachane hasa wakiwa katika Kipindi.