Dogo aliyekuwa akiunda kundi hilo Beka amedai Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumechangia kuishusha Yamoto Band kwa kuwa alikuwa busy na shughuli za serikali zaidi,
pia amesema walikuwa...
Hebu mwenye namba ya huyu dada anisaidie. Nimejaribu kuziba hisia zangu najidanganya, nampenda Rose Ndauka mpaka nakufwaz.
Wanasema age is just a number. Waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata...
Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa...
Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.
Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo...
Japo mwenyewe Mghaibuni Mpinzani kila uchao anaonekana ni Mtu mjivuni huku kila mara akijinadi kuwa sijui ana Masters Degree na kwamba ameishi huko Marekani muda mrefu na kwamba ana maisha mazuri...
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni shabiki nguli wa Sir Nature mkali wa rap katuni.
Pia naamini wengi watakubaliana na mimi kuwa mwamba huyu alinyanyasa sana kwa nyimbo zake karibu zote za miaka ya...
Hakika uwezo wa Bellenine ni wa juu sana.
Kijana hana skendo wala mbwembwe ila muziki wake na talent yake ndio inambeba.
Wcb wametoa nyimbo mia maskendo na promo. Benpol kajianika utupu wake...
Nyie teams mbili mnaowashabikia hawa wasanii wa Tanzania mnapaswa kuwajenga na si kuwabomoa...
Nimeona posts nyingi za members wa timu hizi wakijitahidi kuwabomoa na kuwaharibia sifa wasanii wa...
Wakuu habari zenu,
Mnajua mtu unapoamka unawakumbuka ndugu jamaa na marafiki ili kujua wanaendeleaje, kwa zama za sasa tunakutanishwa sana na mitandao ya kijamii km watsap nk.
Siku za hivi...
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani...
Here he is dancing to Future's 'Mask off', my fave joint at the moment followed by T-shirt [Migos] and Both [Gucci Mane feat Drake].
I've gotta admit...he kilt it. The boy can bend in all kinds...
Staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa katika Mahakama ya Kisutu leo.
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili...
Miss Kagera mwaka 1999, Miss Bridgitte Buyuya alifariki dunia siku ya tarehe 26/05/2017 na kuzikwa siku ya leo tarehe 30/05/2017 katika makaburi ya Bunena, Manispaa ya Bukoba.
Marehemu alizaliwa...
Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda...
Leo kwenye Jahazi la Clouds fm Benpol amefunguka na kudai kuwa kile ambacho alikilenga katika kupiga picha hizo kimefanikiwa kwa asilimia 100%.
Benpol amefunguka kuwa picha zile zina maudhui...
Nampenda Sana Huyu Mdada Yvona Kamuntu Jinsi Anavyotangaza Taarifa Ya Habari Hasa Akiwa Sambamba Na Gwiji La Utangazaji Charz Hirar. Hakika Wananoga Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji118]
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.
Halafu
Chagua mwenyewe.
Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.