Steve Nyerere: Mimi sijaigiza sauti za Mbowe na Wema, sio kwa kiingereza kile..

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie..

“Kwanza mimi toka nimeanza kuigiza sauti sijawahi kuigiza sauti za viongozi wa chama fulani.

Pili, kutongoza napo sio dhambi, ni sunna (akimaanisha ni jambo jema tu kwa mwanaume yoyote kulifanya).
Tatu, sio kila kitu ambacho kimefanywa na familia fulani basi Steve anahusika.

Limenikera na kuniumiza sana. Pia sio kwa Kingereza kile cha kubembeleza vile, nina uwezo huo? Na pia sio mimi peke yangu ninayeweza kuigiza sauti za watu, waigizaji wapo wengi.”
alinukuliwa akisema Steve Nyerere.
 
Steve Nyerere nikikumbuka Kituko ulichokifanya kwa Bosi wa Mashujaa Band Mama Sweya December mwaka 2012 pale Leaders Club tulipokuwa tunaserebuka na show ya Wenge Musica BCBG huku ukiwa na Mshkaji wako mkubwa Haji Londa ( Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni ) leo hii nikiyasikia haya unayohusishwa nayo hata sishangai. Kikubwa ninachokushauri tu tafuta Mdhamini haraka sana uanzishe angalau ka ji Chuo ka Utapeli, Janja Janja na Usanii uliotukuka naamini utapiga mno Hela na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Mama wa Watu Sweya pamoja na ule Ujanja wake wote lakini siku ile ulimuingiza mjini pale pale Leaders Club kabla hata ya Kuzimia na ulipoingia nae katika ile Gari kumkimbiza Hospitalini. Halafu hoja yako kuwa sijui huwa huigizi Sauti za Viongozi wa Upinzani nadhani ni nyepesi mno Kwetu na wala haina mashiko. Hivi Wewe Steve Nyerere kuna kinachokushinda hapa mjini? Wadanganye wasiokujua.
 
Mkuu mchango wako 80% ni off topic lakini hizo 20% zimefunika kinoma!
 
Acha blah blah weka facts kwamba ni yeye kaigiza. Over.
 
Mbowe mzee wa kimyakimya lakini hatareee!

Upande wangu sioni ubaya kwa kuupa kiburudisho mwili wake,

Hata hivyo kazi ya kuongoza chama kikuu cha upinzani ni ngumu sana mwacheni achangamshe mwili.
 
Steve Nyerere nikikumbuka Kituko ulichokifanya kwa Bosi wa Mashujaa Band Mama Sweya December mwaka 2012 pale Leaders Club tulipokuwa tunaserebuka na show ya Wenge Musica BCBG huku ukiwa na Mshkaji wako mkubwa Haji Londa ( Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni ) leo hii nikiyasikia haya unayohusishwa nayo hata sishangai. Kikubwa ninachokushauri tu tafuta Mdhamini haraka sana uanzishe angalau ka ji Chuo ka Utapeli, Janja Janja na Usanii uliotukuka naamini utapiga mno Hela na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Mama wa Watu Sweya pamoja na ule Ujanja wake wote lakini siku ile ulimuingiza mjini pale pale Leaders Club kabla hata ya Kuzimia na ulipoingia nae katika ile Gari kumkimbiza Hospitalini. Halafu hoja yako kuwa sijui huwa huigizi Sauti za Viongozi wa Upinzani nadhani ni nyepesi mno Kwetu na wala haina mashiko. Hivi Wewe Steve Nyerere kuna kinachokushinda hapa mjini? Wadanganye wasiokujua.
Nakukumbusha tu mkuu mmiliki wa mashujaa band ni papaa maisha na mkewe kwa jina maarufu anajulikana kama mama sakina.

Na sio uyo mama sweya.
 
Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie..

“Kwanza mimi toka nimeanza kuigiza sauti sijawahi kuigiza sauti za viongozi wa chama fulani.

Pili, kutongoza napo sio dhambi, ni sunna (akimaanisha ni jambo jema tu kwa mwanaume yoyote kulifanya).
Tatu, sio kila kitu ambacho kimefanywa na familia fulani basi Steve anahusika.

Limenikera na kuniumiza sana. Pia sio kwa Kingereza kile cha kubembeleza vile, nina uwezo huo? Na pia sio mimi peke yangu ninayeweza kuigiza sauti za watu, waigizaji wapo wengi.”
alinukuliwa akisema Steve Nyerere.
Wanatafuta kiki kupitia kaka yetu STEVE so umaarufu sio kutumia sauti ya MTU ingawa kutongoza sio kosa its just a normal.........kwann watu msitumie sauti zenu ili muweze kujulikana na watu mbalimbali kuwa mnavipaji
 
kwani wahusika mbona wapo cool hawalalamiki waacheni kina mbowe na wema wavinjari ni sehem ya starehe kila mtu ana uhuru
 
Back
Top Bottom