kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Hajawahi kukosea huyu jamaa kwny viitikio yaan bora hata aacha kutoa nyimbo nzima aimbage tu viitikio...ckiliza wimbo mpya alioshirikiswa na Nikki wa pili unaitwa quality time
Chin bees alitambaa na chorusQuality time ni nzuri ila Jamaa nick wa pili huwa anafeli video!
Angalia sweet mangi bonge la ngoma video chenga!
Gnako amefanya poa sana ingawa Jamaa hata kwenye verse yuko njema kama ile ngoma yake ya Arosto nilimuelewa kinoma, ile chorus sijui aliimba nani!
Kumbe Jamaa mzima kiasi kile!Chin bees alitambaa na chorus
Quality time ni nzuri ila Jamaa nick wa pili huwa anafeli video!
Angalia sweet mangi bonge la ngoma video chenga!
Gnako amefanya poa sana ingawa Jamaa hata kwenye verse yuko njema kama ile ngoma yake ya Arosto nilimuelewa kinoma, ile chorus sijui aliimba nani!
simuelew huenda ameamua kuswitchKumbe Jamaa mzima kiasi kile!
Sasa muziki gani huu anaoimba sasa hivi?
Ni wimbo mbovu sana ni chorus tuu ndio nzuri lakini Niki 11 hakuna alichoimba laki nimegundua watangazaji kuna baadhi ya wasanii wana waogopa kuwambia ukweli hasa huyo Niki...sijui kwanini hii nyimbo ya Quality time naiona sio.