Kila kukicha kuna tetesi za wadada wa mujini mfano irene(Queen video wimbo wa kwetu),hamisa mabeto(queen video wimbo wa salome),penny(ex girlfriend wa dai) kubeba ujauzito wa msanii diamond ila...
Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE
wajomba tunaomba wasifu wake
Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna...
Kama ukikuwa hujui sasa nakujuza rasmi.Ni kuwa mgombea urais mbabe wa marekani Donald Trump aliwahi kuigiza kwenye filamu ya vichekesho ya Home Alone 2.
Ukisema uandishi wa mashairi adhimu katika HIP HOP Fid q ni Baba lao na ukizungumzia msanii wa HIP HOP mwnye flow nzuri kuliko yeyote ni CHID BENZI
Nipingwe kwa hoja kama kuna ulazima
mtu kuwa tajiri Lilionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake Alitakiwa azimiimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi.
Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za...
Habari za jioni wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Msanii Ben Pol ametoa ushauri wa bure kwa akina dada wote wanaopenda kufwatilia simu za mabwana zao pindi wanapozisahau au...
Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18.
Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan...
Huko nyuma ulikuwa ukijua tu unasafiri na ATCL ( zamani ATC ) kwenda Mikoani au nchi za jirani halafu katika Ndege unayoipanda ama yupo Captain Mapunda au Captain Mazula au wapo Wote wawili...
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Mkubwa Fella amedai Juma Nature anashindwa kufanya vizuri kwenye muziki kutokana na kukosa huduma yake.
Meneja huyo amedai yeye alikuwa anajua...
Rapper Kanye West has arrived at Trump Tower in New York to meet the President-elect.
Although the pair were happy to pose for photographs, they were less keen to answer reporters' questions on...
Kiukweli inawezekana hizo tuhuma za kumpiga huyo Khalid wa South dolar 150 milion zikawa za kweli maana hizi picha zinaonekana zimepigwa airport ya South Africa,Uganda casket haikufunguliwa na...
Alianza Ray kigosi na maji yake, watu wakapiga hela kupitia skendo yake ya utumiaji maji.
Na hapa katikati kuna huyu Wolper naona makampuni ya manukato yameshindwa kufanya nae biashara kuhusiana...
Aiseee Kwanza Daimond mimi ni Fan wako sanaa Hapa Duniani....kinachofanya ni kupende Ni vile unavojituma na kuto kukata tamaa kwako!!
Kabla sijakushauri nilicho taka nikushauri kwanza Kabisaaa...
Zari na familia yake wamewasili alasiri ya leo nchini uganda pamoja na mwili wa Ivan,Tayari kwa mazishi siku ya jumanne
Rest In Peace Ivan
Monday 29 may
Funeral service at St Paul's Cathedral...
Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo
.
JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPA
Kwenye ukurasa wake wa Fb, Emmanuel Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Flora, kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa"
Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa...
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili.
Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi
Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB
Nitaendelea kuwajuza...
Staa wa Hiphop Tanzania FidQ Leo Amewafungukia Baadhi ya watu wanaolalamikia kuwa mwanasoka wa Uingereza David Beckham kupost picha Akiwa Tanzania bila ya Kuandika IG kwa watu wake.. Kuwa yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.