Dr. Hildebrand Shayo

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
3031d1228622973-dr-hildebrand-shayo-shayo.jpg

Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE

wajomba tunaomba wasifu wake

Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna umuhimu wa kuumulika JF style

popcorn.jpg
 
Last edited:
hili jamaa i usually read his articles TZUK.net. grammar yake,puts more questions in my head then answers.well anyway it could be me who has problems
 
I know Shayo. He is a genuine Dr. Graduated from UDSM, Then was at IDS before joining Southbank University UK for Mphil then PhD . Mnaojua London Basi Ni karibu na Tube ya Elephant and Castle. He is a reosurceful person. More less is Associate Prof. at the same University.
London South Bank University - become what you want to be then search staff. Hope it is satisfactory. Sasa suala la Gramar. I ca'nt defend that, maana TZ vipanga wengi tu lugha na magrama yanawapiga chenga.
 
Dr. Shayo, All I can say don't argue with a fool because no one will notice a difference:)

Thanks kwa uhuru wa vyombo vya habari na maendelevu ya technologia kama kuwepo kwa blog zisokuwa moderated kunawapa nafasi watu wasio na nia nzuri, wenye chuki binafsi kutoa mawazo/maoni yao yenye mlengo wa nyuma, na mawazo/maoni hayo kusomwa na watu wengi.

Watanzania tuamke - tu discuss important matters tuache masihala.
 
the crux of the matter is GRAMMERWISE,this guy is poor,lets hope on the spoken word he can walk the walk
 
Siku hizi mtu akibanwa ukimbilia kutoa lawama kwa maendeleo ya teknologia na uhuru wa mablog...
 
Ndugu zanguni kwa nini wengi hatukubali kuwa English is our third language????? Kwa wengi tunaanzia local venacular (sijui kama nami hapa nimepatia grammer!!!! au spelling vile!!!). then second is Kiswahili na English third. Tofauti na watoto wetu siku hizi first Swahili then English Second. Sasa je tunamsakama huyu Dr.Shayo kwani yeye kakulia huko Marekani au Uingereza kama mlivyo wengine??? Amesoma TZ miaka yake yote isipokuwa for PhD. Kwenye PhD level hatujifunzi Lugha unless kuwa wewe ume specialize kwenye Linguistic!!??? Halafu pia kwa mtoto au mtu kufahamu lugha inategemea kwa his/her first teacher in that particular subject!!!! Je waalimu wetu shule za Primary government kumbuka ni wale wengi waliopata div 4 na wale wanaoitwa siju UPE kama bado wapo na wale wa grade sijui gani vile, siku hizi nao kuna wale wa crush programme. Kusema ukweli mtoto wa academy leo atamshinda English levels nyingi kwa mtu aliyesoma English yetu ya waalimu unqualified!!!! Kwanza wa sasa walimu wa academy wamesoma na wengine ni University graduate na mtoto tangu nursery ni English sasa utalinganisha na wale walioanzia Engilish darasa la nne??? Watoto wa leo tatizo ni Kiswahili hata grammer yake hawafahamu, mambo yamekuwa v/versa!!! Je wasipofahamu kiswahili vema tutawadharau???

Nafikiri sometimes mtu anapost issue kwa sababu ya personal interest!!!!!! Sorry to say this. Simtetei Dr. Shayo hapa bali I am trying to put issues into reality!!!

Wenzangu mliopata bahati ya kusomeshwa English Schools huko nyuma na mliopaaa Ma US na Ma UK hongereni ila mtusamehe viingereza vyetu vya third language!!! But tulikuwa wote huku only that you had an opportunity to go wherever you are now where English is their first language and due to this Environment you also adopted English as your First Language. Keep it up. To me English or Kimombo is my fourth language!!!!
 
nauliza usomi wa mtu ni nini? kingereza kama cha Pundit(kigumu) au material anayomwaga?
 
nauliza usomi wa mtu ni nini? kingereza kama cha Pundit(kigumu) au material anayomwaga?

Tukubali ama tusikubali Material matters. Kwa wale ambao kipindi cha kama miaka 4 iliyopita ambao walikuwa kwenye sekta ya utalii watakuwa mashahidi. English amabayo hawa tuwaitao tour guides waliyokuwa wanaongea, ni balaa tupu. Kwa mwelewa wa lugha hii na bahati mbaya ukawa ni mtanzania basi utavunjika mbavu! mfano unaweza msikia mtu akijitambulisha kwa mgeni (naomba maguides mnisamehe) "Your may name is Juma and you?" ama anamwambia mgeni " this is elephant toilet" unashangaa ana maana gani huyu! lakini kwa wenzetu wazungu hawako kwenye grammer tunazosema sisi bali wamelenga zaidi kuwa unataka kusema nini hapa. Then wanapata wakitakacho wanaendela mbele. Hata wao wageni huwa wanakosea tu kiswahili chetu. Wakati fulani niliwahi kuwaambia watu fulani kuwa wanajua kiingereza sana ila wana uoga wa kukiongea ndio maana wanakuwa bubu. Walipoanza kuvunjavunja hiyo lugha sasa wanaongea as if wako kwa malkia. Pia kuna tofauti ya kiinglishi cha kuandika na kuongea. Hata kiswahili, tulipokuwa huko kijijini tulikuwa tunawahara sana waliotoka mjini kuwa wanajua kiswahili, lakini njoo kwenye kuandika hicho kiswahili! Hawakuwa wanaona ndani, tuliwaacha mbali sana. Final MATERIAL MATTER THAN ALL THAT BOMBASTIC AND GRAMMER THAT WE ARE TALKING ABOUT.
Nionavyo mimi.
 
Tatizo la muanzisha mada ni lipi? Dr. Shayo ni msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na Uchumi, Sijui huko UK lkn alipokuwa UD undergraduate alikuwa kipanga sana. Nafikiri watu wasilete chuki binafsi hapa na kupakazana. The guy is brilliant.
 
Waridilamoyo Profile:

Waridilamoyo has no status.
Junior Member

Last Activity: Today 01:56 PM

StatisticsFriendsInfractionsContact Info

Total Posts: 2
Posts Per Day: 0.11

Join Date: 15th November 2008
Referrals: 0
 
Tukubali ama tusikubali Material matters. Kwa wale ambao kipindi cha kama miaka 4 iliyopita ambao walikuwa kwenye sekta ya utalii watakuwa mashahidi. English amabayo hawa tuwaitao tour guides waliyokuwa wanaongea, ni balaa tupu. Kwa mwelewa wa lugha hii na bahati mbaya ukawa ni mtanzania basi utavunjika mbavu! mfano unaweza msikia mtu akijitambulisha kwa mgeni (naomba maguides mnisamehe) "Your may name is Juma and you?" ama anamwambia mgeni " this is elephant toilet" unashangaa ana maana gani huyu! lakini kwa wenzetu wazungu hawako kwenye grammer tunazosema sisi bali wamelenga zaidi kuwa unataka kusema nini hapa. Then wanapata wakitakacho wanaendela mbele. Hata wao wageni huwa wanakosea tu kiswahili chetu. Wakati fulani niliwahi kuwaambia watu fulani kuwa wanajua kiingereza sana ila wana uoga wa kukiongea ndio maana wanakuwa bubu. Walipoanza kuvunjavunja hiyo lugha sasa wanaongea as if wako kwa malkia. Pia kuna tofauti ya kiinglishi cha kuandika na kuongea. Hata kiswahili, tulipokuwa huko kijijini tulikuwa tunawahara sana waliotoka mjini kuwa wanajua kiswahili, lakini njoo kwenye kuandika hicho kiswahili! Hawakuwa wanaona ndani, tuliwaacha mbali sana. Final MATERIAL MATTER THAN ALL THAT BOMBASTIC AND GRAMMER THAT WE ARE TALKING ABOUT.
Nionavyo mimi.

Hehehehehehe.....you may be right....
 
Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE

wajomba tunaomba wasifu wake

Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna umuhimu wa kuumulika JF style
Umeshapata wasifu wake?
 
Back
Top Bottom