Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 278,618
- 1,128,563
Kila kukicha kuna tetesi za wadada wa mujini mfano irene(Queen video wimbo wa kwetu),hamisa mabeto(queen video wimbo wa salome),penny(ex girlfriend wa dai) kubeba ujauzito wa msanii diamond ila cha kushangaza ni mwanamke mmoja pekee aliyetangaza ana mimba ya dai na akajifungua mara mbili. Ila wadada wengine mimba zao sijui huwa wanazipeleka wapi. kwa sasa insta kumechafuka kwa tetesi,hadi kufikia january matokeo ya mimba hizo yatakua hadharani
Mdogo wake zari nae hakua nyuma kurusha madongo yake bila kujali maana ya mswahili mpe picha story atatunga mwenyewe
Kwa jinsi hii familia ilivyopendeza wengi wanaombea isambaratike vibaya
Mdogo wake zari nae hakua nyuma kurusha madongo yake bila kujali maana ya mswahili mpe picha story atatunga mwenyewe
Kwa jinsi hii familia ilivyopendeza wengi wanaombea isambaratike vibaya