Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,883
2,000
Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18.

Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan zilizoko Afrika Kusini kikiwemo chuo cha Brooklyn na pia nyumba mbili za Ivan zilizoko Sandton na Pretoria. Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe.

Wengine waliochaguliwa ni;
  • Ritah Ssemwanga(Dada wa Ivan)
  • George Ssemwanga ambae ni kaka mkubwa wa Ivan
  • Lawrence Muyanja(Maarufu kama King Lawrence)
 
LUCKY BANANA

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
465
250

KING LAWRENCE NI NDUGU YA IVAN NI RAFIKI TU
 
undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
439
1,000
Kifo..

Mali sio zako ukifa huku watu watazigombania kama vile tai wanavyogombania mzoga na watatumbua kwa style yeyote ile iwe nzuri au mbaya

Mke ,ukifa kuna watu watajimilikisha na kutumbua pesa zako yani mke amchukue na pesa ulizotumia nguvu kuzitafuta azitumbue

Watoto watakusahasau tu na kuwa used na baba mpya

Mama nakupenda sana ningekuwa na uwezo naandika wosia mali ziwe allocated sehemu nyingine tofauti na kiasi kwa wazazi na wao ndio wasimamie huduma za watoto
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom