ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Aiseee Kwanza Daimond mimi ni Fan wako sanaa Hapa Duniani....kinachofanya ni kupende Ni vile unavojituma na kuto kukata tamaa kwako!!
Kabla sijakushauri nilicho taka nikushauri kwanza Kabisaaa nikupongezeee Kwa moyo mweupee....'KUTO KWENDA KWENYE MSIBA WA IVAN!' Hapo ulicheza kama Pele Mond...Huo ni uanaume na mwanaume msimamo...Japo mpango wako ulikuwa ni kwenda ila ratiba zilipishana lakini mimi nilifurahi ambavyo hukwendaa...
Kifupi ni kuwa insta na social media zingine zote zingechafukaaaa kwa Maneno ya shombo na ya kejeri! Msiba wa IVAN wewe ulikuwa haukuhusu kwa namna yoyote ile Labda KIBINADAMU lakini kivingine vyovyote vile Ule msiba wewe ulikuwa haukuhusu buanaa...Kwanini umshobokee mtu asiekuhusu? Hamjawahi hata kuongea nae wala kuonana WHY? Wewe ilikuwa ni kumliwaza zari tuu......
Sasa nije kwenye Kilichonileta...Diamond wewe sasa hivi ni msanii mkubwa sanaaa una followers wengi duniani kote! Unachoshindwa ni kimoja tuuuu....Kumanage Account zako za Social media....Mzee unapost sanaaaaaaaa.....unapost hadi vitu visivyokuwa na maana.....
Unatoa support hata kwa vitu ambavyo msanii kama wewe hukutakiwa kutoa....Wewe ni Bonge la msanii inabidi ukipost kitu watu waseme kweli leo nimepitia insta Ya Diamond kapost....Ulinikera sana ulivyompost gwajima Who is Gwajima? Kwako wewe.....mbali na huyoo yapo mengi tuu Diamond unapost ambayo hukutakiwa kufanya hivyoo
Chukulia akina Christian Ronaldo, akina Chris Brown, Akina Niki Minaji na mastaa wengi wanavyomanage account zao kwa siku post moja Tuuu......Sasa Mzee baba wewe kwa siku unaweza hata weka post 15 what For? Eti Diamond?.....
Tusiende mbali angalia akina Davido na Wizkid wakipost unasema kweli wamepost Sasa na wewe badirika sio kila kitu lazima upost vingine unaweza ukaacha Sisi Team zako tukapost....
Unatutumia kwenye group sisi tutapost. Wewe Account yako inabidi ziwe na Uzitooo.....Now unaenda kufikia Followers Million 4 insta lakini ukiendelea na mtindo wako wa kupost post hovyo hvyooo utakuwa sawa na Mwenye followers laki Moja!
Pia wewe ni staaa inabidi usionekane onekane hovyohovyo sio kidogo tuu watu wamekuona kidogo wamekuona...wewe ni wa kwenda South unakaa hata Mwezi...Yaani Tusikuzoee... Wewe Sasa hivi yaani usitake mazoea
Najua kibongo bongo watasema umefulia sijui nini lakini achana nao Jifunze kuishi kistar. Bora waseme hata unawaringia sawa... Wewe kuhangaika na kuishi kwa tabu huko nyuma hizo kawaida sasa tunaangalia ulipo..Wewe ni wa kuringa sasa sio kila kitu kwako Ndio....
Sio kila mtu anakuhoji hovyohovyo hapana, achana nao wanaokuhoji wawe wana hadhi ya kukuhoji yaani ukiwa Interview kweli upo kwenye interview na unajieleza kidogo kwa muda mfupii sio ujielezeee kama unatafuta mchumba Redioni wewe ni Star Ishi kistar Diamond
Ni hayo tuuu Diamond....
DIAMOND ISHI KISTAR