Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
mtu kuwa tajiri Lilionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake Alitakiwa azimiimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi.
Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za kibepari zinatawala, ujamaa unapewa kisogo.
Mtu kama ni mbunifu, ana nidhamu ya kutofuja pesa na anafanya kazi sana kwa nini asiwe tajiri?
Utandawazi unasaidia ndiyo maana leo tunaweza kuwatambua mabilionea wakubwa ambao wanastahili pongezi kwa hatua walizopiga.
Tusisahau kuwa wanaibeba nchi kwa ulipaji kodi.
Binafsi Ningependa Kuwajua Matajiri Toka Tanzania Pamoja Na Vyanzo Vyao Vya Pesa