Picha za jeneza za Ivan ila.....

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Kiukweli inawezekana hizo tuhuma za kumpiga huyo Khalid wa South dolar 150 milion zikawa za kweli maana hizi picha zinaonekana zimepigwa airport ya South Africa,Uganda casket haikufunguliwa na baada ya watu kuanza kuja na conspiracy theories za ku fake death familia yake ikasema jamaa aliharibika uso wakaona wasifunue jeneza.

No way sidhani kama aliharibika inawezekana jamaa baada ya kupiga hizi pics South Africa kwenye jeneza akashuka kuendelea na mengine, madoctor wa South Africa wamevuta chao bado wa kwenda kumfanyia surgery, duuuuuh maana hata kanisani wale madogo niliwaona wana roho ngumu kumbe inawezekana wanajua kinachoendelea,

anyway ni conspiracy theories,i am being a. conspiracy theorist ila lolote linawezekana in this crazy world kama Adolf hitler alikimbilia Argentina ingawa tunaambiwa alijiua in 1945 kumbe akaishi hadi 1984 huku Cia na FBI wakijua ukweli wote kali zaidi akaishia kuishi kinyumba na a black woman sembuse bwana Ivan ambaye hata akitumia gharama katika hiyo 150 million atabaki na angalau 120 ya kuishi kwa raha mustareheeeeeeeeeeee.kiekiekiekeiekiekeiekeieee,teh teh teh.
Ivan-Semwanga-body-in-coffin.jpeg
Ivan-Semwanga-dead2.jpeg
 
Seriously..
Mkuu naanza coconect dots..
Time will tell us Tusubiri..

Kama ni kweli basi atakua scolfied (Kwenye Avatar ) wa E. A
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
 
Duh inawezekana ikawa kwel naona hapo hakuna hata watu wakat inapigwa picha hiyo maiti. Swali langu alimpigaje hizo US DOLLAR 150 million
 
Sikumbuki jina ila ni move nzuri sana.
ok namkubali sana mr Jackson,kam siyo xander ukikumbuka naomba unitajie ila xander cage yupo vin diesel,ice cube,neymar jr wa barcelona ali feki kafa akaibuka mwishoni...nchi za wenzetu hizi case za ku fake deaths ni nyingi sana,jana tu Uk kuna conman mmoja alipigaga kama dolar milioni 53 akafeki death kafa huko kwenye milimani sijui nchi gani kwenye michezo yao ya kuteleza ile kwenye ice,11 years walijua kafa kumbe anakula maisha an hela za utapeli.
 
Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
 
Ukiwa kwenye kile chama ndio mambo yao ya kufake kifo cha mtu wao hasa wakikuona kama unakwenda kinyume chao.

Kuna move moja samweli Jackson ameact mule ndani wame disclose mambo yao kidogo hao ya kufake vifo.
Inaitwaje hiyo muvi mkuu,??
 
Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
We jamaa japo "nadhani nadhani" mingi ila una upeo mkubwa sana..

Big up..
 
Sidhani kama kuna haja ya kuongezea mengine zaidi ya maelezo uliyoyatoa na wasioamini haya usemayo watakuwa na viburi tu vya kuzaliwa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom