STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Alianza Ray kigosi na maji yake, watu wakapiga hela kupitia skendo yake ya utumiaji maji.
Na hapa katikati kuna huyu Wolper naona makampuni ya manukato yameshindwa kufanya nae biashara kuhusiana na skendo yake ya harufu.
Sasa muda umefika kwa Ben Pol,nahisi kupitia hii ishu ya upakwaji mafuta ikitumika vizuri basi atapiga mkwanja mrefu sana(ingawa ni fedheha kwa mwanaume)...
Wabongo msimwage povu sana nawarudisha USA baby, kule tunakutana na mnyama BirdMan kutokea fasi ya YMCMB.
kuna interview moja alifika kwenye kituo cha redio, sasa siku ile alikuwa amepanick kwasababu wale watangazaji walikuwa dizaini kama wanamshushia heshima hivi.
Basi bwana unaambiwa alivyofika tu akaanza kubwatuka ''Eyoh Nigga Put respek on me, Yeah put respek on my name''
Yaani mtu mzima alikuwa anashindwa kuitamka ile RESPECT kwasababu alikuwa amevaa meno ya dhahabu(grill).
Sasa baada ya kisanga hiko kutokea, wale watu wa fursa wakachangamkia dili na kesho yake tu kukaanza kuchapishwa cape, t-shirt na cups zenye logo ya RESPEK na watu wakapiga mtonyo wa maana.
Turudi Bongo sasa, Hii kitu inawezekana kama watu watakuwa serious,
am done.
N.B
Kuna mijitu itakuja itasema eti mimi ndio Ben Pol najipigia promo...