if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Habari za jioni wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Msanii Ben Pol ametoa ushauri wa bure kwa akina dada wote wanaopenda kufwatilia simu za mabwana zao pindi wanapozisahau au wanapokuwa wanaoga kupitia nyimbo yake ya PHONE.
Kwani kufanya hivyo wanajitaftia wenyewe presha zisizo za maana. Hivyo kina dada tunawaomba mpunguze kusearch simu za waume zenu kuepukana na matatizo ya sio na maana kwani hata sisi pia ni binadamu tunapitiwa.