Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
ImageUploadedByJamiiForums1450767790.559878.jpg
Kama ukikuwa hujui sasa nakujuza rasmi.Ni kuwa mgombea urais mbabe wa marekani Donald Trump aliwahi kuigiza kwenye filamu ya vichekesho ya Home Alone 2.
 
Na Pia ametoka Kliniki maana alikuwa anatumia ndaga balaa
Be seriously big bro.mimi nahisi tatizo la masta wengi kudumbukia kwenye hili tatizo ni mkazo wa kazi i think.juzi kati mpk lady gaga naye alikuwa pusher
 
Be seriously big bro.mimi nahisi tatizo la masta wengi kudumbukia kwenye hili tatizo ni mkazo wa kazi i think.juzi kati mpk lady gaga naye alikuwa pusher

Nipo siriazi mi nawafutilia sana mastaa wa Marekani, nawajua kweli, huyo dogo nusu afariki duniani, hivi sasa kuna muvi mpya anacheza ambayo ana akisi maisha yake wakati akila ndaga. Alikonda balaa. Soma hapo chini:
www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-2455568/Macaulay-Culkin-looks-healthy-battling-drug-addiction
the-story-of-what-really-happened-to-macaulay-culkin-when-his-star-started-to-fade-pictur-448394.jpg

Picha hii ilikuwa mwaka 2012

Na kwa sasa ndo amegain
macaulay-culkin.gif
 
Back
Top Bottom