Job Yustino Ndugai yuko wapi

Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
Umeshajaribu kufika shambani kwake, kwenye lile la korosho,inaweza kuwa msimu wa mavuna,na jua anapenda kilimo🤔
 
Back
Top Bottom