Uchaguzi 2020Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1
Amejenga flyover ubungo, HEP Rufiji, barabara za lami, ikulu ndogo chato
Kanunua ndege lukuki
Kaanzisha hifadhi ya wanyama burigi
Kajenga uwanja wa kimaitafa chato
Kawagawia marais wastaafu tausi
Kahamishia makao ya serikali dodoma
Amedhoofisha vyombo vya habari
Amerudsha heshima makazin
Amemlinda makonda hadi dakika za mwsho
Yaani wazee, walevi, vibaka, choka mbaya woooote ndo wavaa jezi za ccm tangu kampeni mpaka miaka yote mi5 ya kutawaliwa, wao wapogo tu ndani ya mboga mboga doh!!