Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Na mimi mataga wa Ccm?Uongo wakati tukio lilikuwa live na TBC wakakata baada ya kuona hali si shwari😁😁!Mataga wa CCM leo siku yenu imekuwa chungu!
Na mimi mataga wa Ccm?Uongo wakati tukio lilikuwa live na TBC wakakata baada ya kuona hali si shwari😁😁!Mataga wa CCM leo siku yenu imekuwa chungu!
Wewe ni msukule wa Lumumba!Na mimi mataga wa Ccm?View attachment 1571542
Wewe wasema. Lakini mimi ni msema kweli.Wewe ni msukule wa Lumumba!
SanaBado ni wachache sana, hawatoshi. Hilo ndio tatizo.
Anaglia usije jinyonga baada 28 October Mzee atakapo tangazwa na kuapishwaTundu Lissu ndio Rais tupa kule huyo mshamba na limbukeni wa ndege
Achaga ujingaSerikali Yangu haikuleta Tetemeko.
Either way, wamejaa na wanamsikiliza mzee...Wasema , mzee Alisha wazarau Sana wanakagera na wahaya ni Kama wanyakyusa Wana jeuri na utu wao so uliza gharama za huo mkutano Kama wamejaa ,unaweza kutana na elietoka kyaka au mwanza ,chezea nshomile wewe
Labda ni mzee wako tu na ukoo wakoEither way, wamejaa na wanamsikiliza mzee...
Hata iweje, JPM atashinda tu...Labda ni mzee wako tu na ukoo wako
Nikweli lazima atashinda njaaHata iweje, JPM atashinda tu...
Acha umbea wewe mtoto hakuna mtu mwenye ubavu wa kumzomea Mh Kama una ushahidi leta clip.Bukoba wameshindikana sawa na mbeya, yaani kuna wazomeaji
DuhNdio apate kujua kuwa Bukoba ni nshomile sio kama chattle
Pombe ni nuksi
RIP Akwilina
Duh
Hivi Gymcana ulikuwepo pekee yako brother???
Aisee chadema mmeishiwa kwa ile nyomi lazima watu waweweseke.
Acha uongo humu kuna baba na babu zako.Wakati uwanja wa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipo malizika, kwa miaka zaidi ya mitano hakuna ndege iliyo tua hapo! Ndege za kimataifa zilitua Embakasi Kenya! Miaka zaidi ya mitano.
Usibeze vitu usivyovijua. Wakati huo watalii wa mbuga zetu na vivutio vingine lazima watelemke Nairobi na baadae kama wamesahau kitu, ndo wanaletwa Tanzania kwa matatu!
Uwanja wa KIA ulianza kupasukapasuka na runway kuharibika bila kutumiwa. Bora CHATO INTERNATIONAL AIRPORT (CIA) kunatua ndege mapema.
Na mimi mataga wa Ccm?View attachment 1571542