Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Kwetuntwara

Member
Jun 13, 2020
82
125
Acha uongo tumeona watu wanazunguka huku na kule freely, subirini kipigo, mnakuja hapa na uongo kwamba kazomewa weka clip hapa, acheni tabia za ki-lissu lissu ya kuomba kura bila kuonyesha ilani ya chama chake ina vipaumbele gani.Kipaumbele namba 1 ni risasi 16
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
 

Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,397
2,000
Uwanja wa ndege wa chato unao tua ndege moja kwa mwaka oyyyyyeee

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wakati uwanja wa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipo malizika, kwa miaka zaidi ya mitano hakuna ndege iliyo tua hapo! Ndege za kimataifa zilitua Embakasi Kenya! Miaka zaidi ya mitano.
Usibeze vitu usivyovijua. Wakati huo watalii wa mbuga zetu na vivutio vingine lazima watelemke Nairobi na baadae kama wamesahau kitu, ndo wanaletwa Tanzania kwa matatu!
Uwanja wa KIA ulianza kupasukapasuka na runway kuharibika bila kutumiwa. Bora CHATO INTERNATIONAL AIRPORT (CIA) kunatua ndege mapema.
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
1,683
2,000
Umwambie awakumbushe maendeleo ya kagera na Tanzania kw Ujumla
Kwani huko anakotoka lisu anakuwa amefunga magufuli haendi tena?
Huko anakotoka Lisu magufuli anaenda kufuta nyayo za lisu
Kisha lisu anakoenda akitokoa mama Samia au majaliwa wanamsafisha.

Tukimaliza mzee baba anaanza kupiga kwa helkopiter, yaani Lisu atapigwa kipigo cha mbwa koko.
Yeye anasema wananchi mna hali mbaya kisha anawatoa pesa ili atafute maisha yake mwenyewe na familia yake.
 

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,559
2,000
Ukimwi kwenu,mnyauko kwenu,mto ngono kwenu,sasa na TETEMEKO kwenu.MWAAFA
SITII PESA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom