Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Kada wa CCM lazima useme hayo!Watu wa Kagera wanahitaji zaidi ya hayo ndio maana wanamtaka Lissu!Maendeleo hayana vyama,ukweli lazima tuukubaliView attachment 1571479
Kada wa CCM lazima useme hayo!Watu wa Kagera wanahitaji zaidi ya hayo ndio maana wanamtaka Lissu!Maendeleo hayana vyama,ukweli lazima tuukubaliView attachment 1571479
Nasikia walio mzomea wamekamatwa?Twende kazi Baba. Tupo pamoja
Walio zomea wamekamatwa?Mambo ni Mubashara CCM oyeee
Nasikia wahaya washa chomoa betri tayari na ashaamuru wakamatweSerikali Yangu haikuleta Tetemeko.
Kweli tetemeko halikuletwa na serikali yakeSerikali Yangu haikuleta Tetemeko.
HoyeeeeeeeeeeeeeeUwanja wa ndege wa chato unao tua ndege moja kwa mwaka oyyyyyeee
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hela hizo zote kazitolea wapi!!?Maendeleo hayana vyama,ukweli lazima tuukubaliView attachment 1571479
Ongeza na ya kwangu hapo mwamba!!Fatilia mnyororo wa familia ya Akwilina.
Ngugu + Jamaa + Marafiki + Majirani + Wanachuo wenzie + Wapenda haki na Amani Kama Mimi huyo Pombe Kura yangu Hapati
Lete video tuoneeeeNasikia wahaya washa chomoa betri tayari na ashaamuru wakamatwe
Bukoba wameshindikana sawa na mbeya, yaani kuna wazomeajiKwani ww unaonaje?
Inanihusu nini mambo ya maccm?Lete video tuoneeee
Hivi huduma za jamii kama maji na umeme, barabara ni hisani ya serikali au ni wajibu kwa serikali kujenga na kutoa kwa wananchi?
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana.
MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba wananchi wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu kuhakikisha wanajenga mnara wa mawasiliano kati yao na Rais Dk.John Magufuli kwa kuchagua Rais, Mbunge , madiwani kutoka Chama Cha Mapinduzi( CCM).
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kagera waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu, Byabato amesema katika uchaguzi hakuna sababu ya hao kufanya makosa kama yaliyofanyika uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuchagua mbunge na madiwani wa upinzani.
"Bukoba Mjini tulikosea mwaka 2015 kwa kuchagua upinzani , na hivyo kukata mawasiliano kati yetu na Rais Magufuli.Huu ni mwaka wa kujenga mnara wa mawasiliano,naomba wote tumchague Dk.Magufuli kwa nafasi ya urais,mnichague mimi kwenye ubunge jimbo la Bukoba Mjini pamoja na wabunge wote wa CCM,"amesema Byabato.
Amefafanua kuwa ni kweli maendeleo hayana Chama na ndio maana Rais Magufuli amefanya maendeleo makubwa bila kuombwa na mtu yoyote lakini kwa upendo wake mkubwa kwa wananchi wa Bukoba Mjini na Kagera Mjini ameleta maendeleo.
Ameongeza katika miaka mitano iliyopita chini ya uongozi wa Rais Magufuli wananchi wa Bukoba Mjini kunamaendeleo makubwa yamefanyika na kwamba Sh.bilioni 158 zimetumika kwa maendeeleo."Tunatambua kwamba yote hatukuomba lakini tumezipata fedha hizo kwa upendo mkubwa alionao kwa ajili yetu."
Amesisitiza Bukoba Mjini kuna taa za barabarani wamepata kilometa 13 za lami, wamepata mradi mkubwa wa maji wenye kuzalisha lita milioni 18 wakati mahitaji ni lita milioni 15 kwa siku na hivyo kubaki na ziada ya lita milioni tatu na kwamba yote hayo yamefanyika sio kwasababu waliomba bali yametokana na Rais Magufuli na mapenzi yake kwa wananchi.
Pia Sh.milioni 500 zimetolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya vituo vya afya na leo, miundombinu katika sekta ya afya imeboreshwa na kuimarika sana."Hayo yote hatukuomba katika miaka mitano lakini tumepewa.Nawaombeni wana Bokoba, tusifanye makosa tena.Tumchague Dk.Magufuli kwanza jina lake ni kubwa hata ukilitaja unasikia raha.
"Tujenge mnara wa mawasiliano ambao utakuwa rasmi kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kati ya wananchi na Rais wetu.Tunataka tukipiga simu kwa Rais tunaambiwa mawasiliano yapo na tunayoomba yanafanyiwa kazi, Bukoba iwe na mawasiliano mazuri na sio ukipiga unaambiwa Not reachable,"amesema Byabato.
----
Sehemu ya Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Kagera waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Halafu kila tukileta hii habari humu mods wanafuta!!Mbona hutuonyeshi jinsi wana bukoba walivyo mzomea?
Wewe unazomewa tuu unakamata watu.. Je walomiminiwa risasi za mwili wafanyejee !!????..mimi simtaki Jpm, lakini napinga wananchi kumzomea akiwa jukwaani.
..bora hata wangetumia MABANGO kuwasilisha madukuduku yao.
Mhh!! Nyomi kweli, si umeiona! Hakuna nyomi halali na hakuna nyomi haramu- nyomi ni nyomi tu. Siri ya mtungi aijuae kataHii nyomi ya bukoba Mimi namashaka nayo nilichojiuliza kweli saa mbili watu wajae kiasi kile kama hii nyomi hii halali basi kuna jambo kubwa huyu mgombea kawafanyia watanzania
Kuleta fujo Kama kurusha mawe sio vizuri.Ila Kama hujamwelewa alichoongea akiuliza utanipa kura inabidi utoe jibu nitakupa au nitakunyima
tena wakajibuBukoba wameitwa na wameitikia.
Wasema , mzee Alisha wazarau Sana wanakagera na wahaya ni Kama wanyakyusa Wana jeuri na utu wao so uliza gharama za huo mkutano Kama wamejaa ,unaweza kutana na elietoka kyaka au mwanza ,chezea nshomile weweKagera imesimama kumsikiliza Rais wao mpendwa Dr.John Pombe Magufuli