Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uongo wakati tukio lilikuwa live na TBC wakakata baada ya kuona hali si shwari😁😁!Mataga wa CCM leo siku yenu imekuwa chungu!
Na mimi mataga wa Ccm?
IMG_20200916_172148.jpg
 
Itoshe kusema leo Bukoba imetikiswa na kutikisika.

Uwanja wa Gymcana ulijaa saa 06:30 za asubuhi.

Ile ndoto ya Chief Karumuna kuchukua Jimbo umepotea mazima baada ya mkutano wa leo baada Mgombea wa CCM Wakili msomi Byabato kuibua Shangwe Mara kwa Mara alipokuwa akitajwa na Mh Magufuli.

Poleni sana wale waliokuwa wanasubiri kutumia karata ya tetemeko kupata kura za huruma .
 
Wakati uwanja wa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipo malizika, kwa miaka zaidi ya mitano hakuna ndege iliyo tua hapo! Ndege za kimataifa zilitua Embakasi Kenya! Miaka zaidi ya mitano.
Usibeze vitu usivyovijua. Wakati huo watalii wa mbuga zetu na vivutio vingine lazima watelemke Nairobi na baadae kama wamesahau kitu, ndo wanaletwa Tanzania kwa matatu!
Uwanja wa KIA ulianza kupasukapasuka na runway kuharibika bila kutumiwa. Bora CHATO INTERNATIONAL AIRPORT (CIA) kunatua ndege mapema.
Acha uongo humu kuna baba na babu zako.
 
Back
Top Bottom