Mbona nasikia kazomewa na wananchi huko Bukoba
..hicho kitendo mimi sikubaliani nacho.
..kama mtu hamkubali mgombea fulani basi hakuna haja ya kuhudhuria mkutano wake wa kampeni.
Mbona nasikia kazomewa na wananchi huko Bukoba
Kwa ujeuri huu wa watu wa Bukoba, huenda Magu akatukana mama zao au akatembeza kipigo mpaka kwa mashangazi zao.
Acha uongo tumeona watu wanazunguka huku na kule freely, subirini kipigo, mnakuja hapa na uongo kwamba kazomewa weka clip hapa, acheni tabia za ki-lissu lissu ya kuomba kura bila kuonyesha ilani ya chama chake ina vipaumbele gani.Kipaumbele namba 1 ni risasi 16Ni upende usipende utanipenda tu, watu wamebebwa kutoka umbali wa km 70 na ukifika hauruhusiwi kutoka mpaka mkutano utakapoisha, kila mtumishi wa serikali, wanafunzi lazima mwende.
Kwa ujeuri huu wa watu wa Bukoba, huenda Magu akatukana mama zao au akatembeza kipigo mpaka kwa mashangazi zao.
Yaani hata hamueleweki mara mnasema kazomewa hapo hapo mnasema waliohudhuria ni makada kutoka mikoa yote kanda ya ziwa,poor chademaKakusanya watu mikoa yote ya ziwa?
Wote ni makada na si wananchi waliokuja kuskiza kampeni.
Watu wanatumia lugha za kikabila na NEC-CCM hawasemi kitu.
Ni mkabila sana.
Ndio apate kujua kuwa Bukoba ni nshomile sio kama chattleYaani nilikua hapa Jimkana ni Aibu sana watu wamemkataa rais wetu
UBUNGO PIA PALE STENDI DURING 2015 WALIMKATAAGANdio apate kujua kuwa Bukoba ni nshomile sio kama chattle
Lissu size yake ni Henry JamesMdahalo afanye Lissu na chipukizi wa CCM ndio level zake ila sio JPM. Izo ni level tofauti ni sawa na Kutaka mwakinyo apigane na Myweather
Sasa na mikoa mingine wangeiga baada ya kuona inawezekanaUBUNGO PIA PALE STENDI DURING 2015 WALIMKATAAGA
Yaani nilikua hapa Jimkana ni Aibu sana watu wamemkataa rais wetu
Bora katangulia,angetangulia Lissu ingekuwa balaa zitoCcm wangemuacha atangulie ,lissu ,magufuli asingezomewa
Kuleta fujo Kama kurusha mawe sio vizuri.Ila Kama hujamwelewa alichoongea akiuliza utanipa kura inabidi utoe jibu nitakupa au nitakunyima..mimi simtaki Jpm, lakini napinga wananchi kumzomea akiwa jukwaani.
..bora hata wangetumia MABANGO kuwasilisha madukuduku yao.
Aibuuuuu baba!! Wana kagera wamesema waziwazi hatukupi kuraNimeskia Magufuli amekataliwa live bila chenga.