Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Ni upende usipende utanipenda tu, watu wamebebwa kutoka umbali wa km 70 na ukifika hauruhusiwi kutoka mpaka mkutano utakapoisha, kila mtumishi wa serikali, wanafunzi lazima mwende.
Acha uongo tumeona watu wanazunguka huku na kule freely, subirini kipigo, mnakuja hapa na uongo kwamba kazomewa weka clip hapa, acheni tabia za ki-lissu lissu ya kuomba kura bila kuonyesha ilani ya chama chake ina vipaumbele gani.Kipaumbele namba 1 ni risasi 16
 
Back
Top Bottom