Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
Hapo Tundu Lissu alikuwa bado hajapita je angekuwa tayari ameshawalisha upupu si ingekuwa balaaaaa.Lissu atakuja kuweka mambo sawa
 
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
Mwenye hiko kipande naomba kiende viral ili huyu mchunga ng'ombe' muhutu apatwe na sonona
 
Hamja muuliza zile za tetemeko alizipeleka wapi?? Au kwa vile hakuleta yeye tetemeko ni sawa sawa yeye kula hela za maafa?
Pesa zilielekezwa kwenye kukarabati miundombinu ya serikali iliyoathiriwa na tetemeko mkuu.

#mitano_tena_JPM
 
Pesa zilielekezwa kwenye kukarabati miundombinu ya serikali iliyoathiriwa na tetemeko mkuu.

#mitano_tena_JPM
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
 
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?

Video ip
 
Back
Top Bottom