jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,023
- 22,567
Wenzetu wanapambana kuendelea kuzuia maambukizi ya kasi kwa kudhibiti mikusanyiko nk. Na kwa wakati huo wanafanya kazi usiku na mchana kupata vaccine.Wataobaki watafika.
Hiyo ni kwa dunia nzima, siyo Tanzania tu.
So far no solution. Na chanjo ndiyo itaua wengi zaidi.
Hiyo nayo siyo lazima wananchi wote wapatiwe. Immune through vaccines ikipatikana kwa wananchi at least asilimia 70, wanaweza kuendelea na maisha kama kawaida. Ila data ni muhimu.