Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
4,087
9,769
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili.

Artwork-showing-human-skeletal-muscles-front-view-67.png

=====

Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years.​

Updated: May 12, 2024 09:36 AM EST

Richard “Rick” Slayman, the first person who received a genetically modified pig kidney.

The first person to receive a genetically modified pig kidney died almost two months after the surgery. Massachusetts General Hospital, which performed the surgery, maintained that there was no indication the transplant was the cause.

Earlier, Interesting Engineering reported that Richard “Rick” Slayman, who was suffering from end-stage kidney disease, underwent critical surgery in March. Surgeons had predicted that the pig kidney would last at least two years.

Slayman’s case gave hope​

In the past, transplants of other organs from genetically modified pigs have failed, but the surgery performed on Slayman was claimed as a historic milestone.

“The Mass General transplant team is deeply saddened at the sudden passing of Rick Slayman. We have no indication that it was the result of his recent transplant,” said MGH in a statement.

“Slayman will forever be seen as a beacon of hope to countless transplant patients worldwide and we are deeply grateful for his trust and willingness to advance the field of xenotransplantation.”

Slayman had Type 2 diabetes, hypertension​

Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years. He previously received a kidney transplant from a deceased human donor in December 2018 after being on dialysis for seven years.
The transplanted kidney showed signs of failure approximately five years later, and Slayman resumed dialysis in May 2023, according to MGH.

Since resuming dialysis, he encountered recurrent dialysis vascular access complications requiring visits to the hospital every two weeks for de-clotting and surgical revisions, significantly impacting his quality of life and a common problem among dialysis patients.

After his transplant, Rick said that one of the reasons he underwent this procedure was to provide hope for the thousands of people who need a transplant to survive.

Similar surgeries​

“Our family is deeply saddened about the sudden passing of our beloved Rick but take great comfort knowing he inspired so many,” said Rick’s family in a statement.

“Millions of people worldwide have come to know Rick’s story. We felt – and still feel – comforted by the optimism he provided patients desperately waiting for a transplant. To us, Rick was a kind-hearted man with a quick-witted sense of humor who was fiercely dedicated to his family, friends, and co-workers.”

A New Jersey woman had also received a genetically modified pig kidney in April. In addition, she received a mechanical pump to keep her heart beating during the surgery.

Lisa Pisano’s combination of heart and kidney failure left her too sick to qualify for a traditional transplant and out of options.

===

Pia soma: Binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa Nguruwe, afariki Dunia miezi 2 toka apandikiziwe
 
Bado haijathibitishwa kama kilichomuua marehemu ni ile transplant ya figo ya nguruwe.

Hata hivyo jamaa ametajwa kuwa na historia ya kusumbuliwa na magonjwa mengine ambayo amekuwa akiugua kwa miaka mingi.

Kwa hiyo isiwe sababu ya watu kuanza kumtupia maneno ya kifedhuli yule mnyama, bado tunauhitaji mkubwa sana wa huduma yake.
 
Ukisoma vizuri maneno ya kingereza ni kwamba kumbe kabla ya upandikizaji huu wa figo ya nguruwe, jamaa alikuwa kapandikiziwa figo nyingine ya binadamu miaka zaidi ya mitano nyuma.

Figo hiyo ilianza kumsumbua na kulazimika kutumia mashine ya dialysis kila mara kuondoa mgando wa damu kwenye mishipa.

Figo hiyo ya binadamu ilipoonesha kufikia mwisho wa kufanya kazi, ndiyo jamaa akakubali kupandikiziwa hiyo figo ya nguruwe.

Kwamaelezo hayo ni kwamba figo hiyo ya nguruwe ingeliweza kufanyakazi angalau kwa miaka miwili.

Na kifo hiki hakijasababishwa na upandikizaji huo.

Wenzetu wapo juu sana kwa teknolojia ya tiba.
 
Kuna watu huwa wanakubali mapema kuwa siku imefika. Hawang'ang'anii kuendelea na maisha halafu wapo ambao hawakubali, atafanya lolote ilimradi aendelee na maisha.
 
Hiyo ni hatua nzuri Sana kimatibabu. Naamini madaktari watafuatilia changamoto na kuzirekebiaha ili huyu mnyama.mtakatifu ambaye amekuwa akitukanwa na waarabu bila kosa eti ni haramu awadhihiriahie kuwa yeye ndiye kumbe Bora ambaye ameumbwa na Mungu kumkomboa binaadamu katika kitoweo, tiba na Kinga dhidi ya majini
 
Ukiona dini inakutoa akili kiasi hiki ujue ni dini fake. Lazima imeanzishwa na mtu muongomuongo.
 
Ukiona dini inakutoa akili kiasi hiki ujue ni dini fake. Lazima imeanzishwa na mtu muongomuongo.
 
Bado haijathibitishwa kama kilichomuua marehemu ni ile transplant ya figo ya nguruwe.

Hata hivyo jamaa ametajwa kuwa na historia ya kusumbuliwa na magonjwa mengine ambayo amekuwa akiugua kwa miaka mingi.

Kwa hiyo isiwe sababu ya watu kuanza kumtupia maneno ya kifedhuli yule mnyama, bado tunauhitaji mkubwa sana wa huduma yake.
Huwezi kuwa mzima baada ya kufanyiwa operation , hata wanawake wanaofanyiwa operation ya kawaida wakuwa na maumivu ya milele haswa kipind cha mawingu.

Sasa huyu kubadilishwa kiungo kabisa lazima awe na itilafu ya milele.
 
Ukisoma vizuri maneno ya kingereza ni kwamba kumbe kabla ya upandikizaji huu wa figo ya nguruwe, jamaa alikuwa kapandikiziwa figo nyingine ya binadamu miaka zaidi ya mitano nyuma.

Figo hiyo ilianza kumsumbua na kulazimika kutumia mashine ya dialysis kila mara kuondoa mgando wa damu kwenye mishipa.

Figo hiyo ya binadamu ilipoonesha kufikia mwisho wa kufanya kazi, ndiyo jamaa akakubali kupandikiziwa hiyo figo ya nguruwe.

Kwamaelezo hayo ni kwamba figo hiyo ya nguruwe ingeliweza kufanyakazi angalau kwa miaka miwili.

Na kifo hiki hakijasababishwa na upandikizaji huo.

Wenzetu wapo juu sana kwa teknolojia ya tiba.
Ukifanyiwa upasuaji lazima utakuwa na itilafu ya kudumu , hata wale mapacha waliotenganisha nao walikufa .

Vyumba vya operation hata nje ni kwa vile wanapunguza idadi ya vifo ila surgery ni risk milele iwe figo ya nguruwe au binadamu .

Huwezi kukaa sawa baada ya kufanyiwa surgery waulizeni hat wamama wanaojifungua kwa njia hiyo kuna mateso ya milele .
 
Moyo wa nguruwe akifariki baada ya miezi miwili...aliyepewa figo ya nguruwe naye kavuta baada ya miezi miwili!!
 
Back
Top Bottom