Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Awe alikutana nao au hakukutana nao hilo si tatizo kwake.

Tatizo ni kama alichukua chochote na akasema atawasaidia na deal likasambaratika hapo ndipo atalijua jiji.Hawatakubali yaishe kimya kimya atakonda mtu.
Kama ni kweli alikutana nao, lazima chochote kitu kalamba. Kama ni Acc wameshamfungulia kwenye benki za Uswisi, hawatumii majina, only codes na password, yaani hata meneja wa benki hajui majina ya wenye account. Lobbying money wameshamkatia, kama ingepita ndipo sasa naye angeingizwa kwenye long list ya benefisharies mpaka 'Mkulu'.

Makampuni yote watoaji rushwa wazuri, budget ya lobbying ipo na haitangazwi na hata wakikosa hawataunguza picha. Kazi inabaki kwa Mh. Masha kuthibitisha kuingilia kwake was on good faith ili haki itendeke na sio maslahi binafsi.
Yote ni tisa, kumi, hatimaye mzabuni atapatikana, wakula watakula, wakuliwa tutaliwa lakini pia 'Tupata hizo 'White Elephant' I.D cards.
 
Posted Date:: 2009-02-17 07:04:00
Masha: I saved the IDs project
By Tom Mosoba

Home Affairs Minister Lawrence Masha said yesterday that his intervention saved the national identity card tender process from stalling.

Mr Masha, who called a press conference to explain his role in the matter, denied that he had attempted to manipulate the tender process in favour of any private company.

He said on the contrary, his perceived interference ensured that the tender process was not abruptly called off.

The minister said the tender had been put at a risk after there appeared to be deliberate leakage of information from within the evaluation committee.

Mr Masha told the press conference that in fact three bidders, and not one company as widely known, informally raised concerns about vetting information that was not meant to be revealed before the pre-qualification process was complete.

"This has indeed been confirmed as true in the final evaluation committee report, an act that was enough to call off the entire process and start afresh," he said.

But he said in order to ensure that the ID project that has been bogged down for decades was not distracted, the ministry acted on the anomalies as advised by the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA).

Mr Masha explained that he had himself advised his permanent secretary, Mr Patrick Rutabanzibwa, who is legally mandated to intervene to liaise with PPRA over the information raised by the four firms.

"I gave this advice as the minister who carries political responsibility here knowing that the leaked information immediately raised questions about the motives of those leaking it. I wanted to ensure the credibility of the entire process was safeguarded," Mr Masha said adding it would be hypocritical of those equating this move to manipulation.

The minister said it was because of the PPRA�s advise that the final list of six firms that have been approved by the ministry to enter the bidding process was made from eight that were cleared by the tender evaluation committee.

The list, he noted, does not include all the four firms that complained earlier and among them, Sagem Securite that a section of the media has linked his name with.

He said another firm that was also left out had been cleared despite exhibiting similar weaknesses that saw others struck out and which could successfully be challenged ion court.

The minister, however said, any of the firms that feels aggrieved was free to seek justice in court as required. �But for now the law forbids them to participate in the process,� he said.

Mr Masha said he was wrongly being vilified and accused in a section of the media over an official letter he wrote to the Prime Minister explaining the technicalities that surrounded the vetting process and some of the complaints raised by the four firms.

He said he was not acting on anyone�s behalf when he wrote the letter whose leakage from the ministry, he said, was being investigated by an internal committee to establish who was behind it and seal the loopholes.

He said it was the same letter to the PM that an opposition Member of Parliament, Dr Willibrod Slaa (Karatu-Chadema), had intended to table in Parliament as proof of his alleged corrupt dealings.

The minister also denied that he has ever met representatives of Sagem Securite in Switzerland or anywhere else as claimed and challenged those with evidence to produce it.

He showed reporters documents, including his passport and travel itinerary and the letter from PPRA to back his defence.

He said reports have said he was in Switzerland on wrong dates and also failed to verify reports that Sagem Securite had been involved in corruption and banned from Nigeria. Mr Masha produced a letter from the Nigerian high commission in Dar es Salaam to show that the firm was still operating in Nigeria.

The minister said he was contemplating to sue newspapers and reporters linking him with corruption over the ID project. �I have already instructed my lawyers to start looking at all the reports and institute proper libel charges against those implicated,� he said.

He accused people he did not name of pursuing a vendetta against him. He, however, said he personally did not have harbour ill will towards anyone.

Mr Masha said he supported the need for the Government to check the proliferation of newspapers that were mudslinging leaders and other individuals for purely selfish goals.

Six companies have been shortlisted for IDs project. They include Unisys of South Africa, Giesecke & Devrient FZE of Dubai, Iris Corporation Berhad (Malaysia) and Madras Security Printers (India).

Others are Marubeni Corporation, working with Zetes and NEC from Japan, and Tata Consultancy Services working with Ontrack Innovations Ltd from India.

SOURCE: TheCitizen Newspaper

Hapa anaitafutia kazi IMMA Advocates kama last time alivyoisababishia serikali kulipa USD 17milion as compensation? Huyu ndiye mzalendo anayesema amemuandikia Waziri barua kwa "MASLAHI YA TAIFA" na sasa anawafundisha kwenda mahakamani.
 
Check this one from Halisi..........

....haya kaaazi kweli kweli

Kusema ukweli Masha akifungua kesi anashinda straight forward unless huyu Eyakuze akubali kufichua kila kitu.
Kwa mujibu wa Sheria yetu ya Ushahidi (law of Evidence)
Secret recordings (bugs) hazikubaliki mahakamani kama ushahidi. Only fist hand information au za Masha mwenyewe ama Eyakuze. The rest ni hearsay evidence not addmisible.
Pia sheria yetu ya ushahidi inatoa kinga kwa dereva wa masha na msaidizi wake kutolazimika kutoa ushahidi dhidi ya bosi wao kutokana na fuducius relationship. Labda watake wenyewe, hivyo mwandishi hana mashahidi. Hii kinga ya 'fiduciary relationship' dhidi ya ushahidi pia hutumika kumkinga Mke au Mume kutoa ushahidi dhidi ya mwenziwe, Mzazi na Mwanae, Mwalimu na Mwanafunzi, Daktari na Mgojwa. Wakili na Mteja au viongozi wa dini na waumini wao.
Yaani hata kama unajua mumeo, mwanao, muumini alikiri kwako kuwa amefanya kitendo cha jinai, ama ulishuhudia, haulazimishwi na sheria kutoa ushahidi utakaomuangamiza mtu aliyekuamini.
Hivyo hata kama hayo yote yaliandikwa ni ya kweli, the burden of proof lies with the prosecution in our case ni Masha akiamua kwa makusudi kukanusha ukweli, then aliyetoboa ukweli anaangamia kama kwenye 'Watergate Scandal'.
Mhariri na Mwandishi wa gazeti la Washighton Post, walikubali kwenda selo baada ya kukukataa kata kata kutaja jina la mnyetishaji habari wao, waliomtambulisha kwa jina moja la 'DeepThroat'.

Habari za Masha zimenaswa kwa intelijensia ya hali ya juu ambayo ni ama halali ama haramu, ili upande wowote usalimike, lazima upande mwingine uende na maji.

Hoteli zote zinatakiwa kuwa na CCTV, hivyo video ya mkutano wa kina Masha na hao jamaa wa Uswisi ipo na mpaka wakila chakula pamoja. Tatizo hoteli zina wajibu wa kutunza siri za wateja mpaka itolewe amri ya mahakama kuzipata video hizo na mahakama zetu haziwezi kwa vile Uswisi haina mikataba ya kushirikiana na nchi zozote kwenye issues za kisheria.

Hivyo pamoja na good Investigative Journalism ya vijana wa Mangi, na Mangi mwenyewe kuwa ni Mafia, hapa kazi anayo.
 
Pasco,
Kama Mengi na kundi lake wanafanya kazi ambavyo mimi nafikiria basi hilo wala si tatizo. Kama waliweza kumnasa kwenye kikao cha Mawaziri akitamba kuwa atam-maliza Mengi, nafikiri kwao hilo si tatizo. Kama Waziri mwizi wa wake za watu, anapeleka wanawake Ulaya na kuwaficha huko,na wakirudi kashajenga nyumba mbezi beach ya mtoto kufikia, nafikiri hilo si tatizo.
Tanzania kwa sasa kuna matabaka makubwa sana kimapato. Watu kuchukua PIPA na Masha na baadaye kuanza kum-tail kila aendapo na hata kurekodi anakula na nani na wapi kafanya kikao na saa ngapi , hilo si shida.
Wakati mwingine inaweza kuwa Trick. Wanafanya makusudi kukosea tarehe. Akijifanya tu mjanja kwenda kushtaki, basi anakwenda na maji. Unaweza kwa hata mazungumzo walirekodi. Kilipelekwa hapo chombo na kuwekwa na Waiter na wao wakawa wanasogoa bila shida. Waiter ukimpa Euro 100, anafanya bila shida. Kama kweli Mengi amekuwa na wasiwasi na Masha, sidhani kama ameshampa kupumua. IPPMEADIA wanaijua kazi na watakuwa wanaandika kile walicho na uhakika nacho hata wakienda mahakamani. Sidhani kampuni kubwa kama hiyo watakuwa hawana WANASHERIA wanaoweza kuwaambia hili andika ila hili tafuta ushahidi zaidi.....
 
Halisi,

just one quick question. the post you had that laid out the sequence of events, you quote it from somewhere. i am curious, wewe umeipata wapi?
 
Capo di Tutti Capi Kuhani.

Bado unachanganya mambo. Unafanya literal translation la mtumishi wa umma kumainisha mfanyakazi yeyote anayelipwa kutokana na kodi ya wananchi. Hapa unakosea. Tena sana. Ili kuweka wazi mfumo wa utendaji serikalini nitatumia kiingereza inapotakiwa. Badala ya utumishi wa umma, nitatumia Public ( awali ilikuwa Civil) Service na mtumishi wa umma Public ( awali ilikuwa Civil) servant.

1. Public servant ni mtumishi aliyeajiriwa kwa mkataba wa kudumu unaongozwa na kanuni na taratibu za Civil Service Department ( Awali ilikuwa Civil Service Commission). Wengi wao ni wale walioajiriwa na Serikali Kuu pamoja na Executive Agencies zake. Mtumishi Mkuu katika hawa ni Katibu Mkuu Kiongozi.

2. Watumishi wa ngazi ya chini serikalini ( madereva, wahudumu n.k.) si Public Servants. Watumishi walio katika mikataba maalum nao si Public Servants.

3. Wanajeshi si watumishi wa umma maana ajira zao haziko chini ya Civil Service Department.

4. Waajiriwa wa mashirika ya umma kama Tanesco, ATCL, NHC, Dawasa n.k. si watumishi wa umma.

5. Wabunge si watumishi wa umma. Hawa na wafanyakazi wengine wa bunge ajira zao ziko chini ya Ofisi ya Bunge.

6.Mawaziri si watumishi wa umma maana wao kama wabunge wengine ajira zao ziko chini ya Bunge.

7. Majaji si Public Servants. Kwa hali hiyo Jaji Mkuu si mtumishi wa umma.

8. Rais na makamu wake nao si watumishi wa umma nao kwa sababu hiyo hiyo. Ajira zao haziko chini ya Civil Service Department.

Public Servants ni a-political. Hawatakiwi aslani kuwa wanasiasa. Utendaji wao unatakiwa uongozwe na taaluma zao pamoja na kanuni na taratibu za ajira yao. Hawa wanatakiwa kuhakikisha utekelezaji wa maagizo ya wanasiasa ( mawaziri n.k.) hayavunji miiko ya utendaji bora na hatawaliwi na sababu za kisiasa. Kwa mfano. Waziri akitaka Public Servant ahamishwe kutoka sehemu yake ya kazi kwa sababu ni mfanya kazi hodari na anapofanyia kazi ni jimbo la upinzani, Katibu Mkuu anawajibu wa kukataa kumhamisha. Waziri akisema bara bara isijengwe kwenye jimbo la upinzani, Katibu mkuu ana wajibu wa kumpinga kwenye hilo. Kusema kuwa Waziri akizuiwa ku-meddle kwenye utendaji wa kila siku wa wizara atakosa la kufanya si kweli. Akiamua ku-twiddle his/her thumbs na ku-sit on his/her fanny ni uamuzi wake na utaonyesha udhaifu wake.

Tunachosahau wengi ni kuwa mawaziri ni wabunge. Kazi yao kubwa ni ubunge na si uwaziri. Akipoteza ubunge, uwaziri nao anaukosa. Lakini akipoteza uwaziri haina maana na ubunge nao anaupoteza. Kwa sababu hii hawatarajiwi kufanya kazi ya uwaziri na kuacha au kudharau majukumu yake kama mbunge. Ndiyo maana uchaguzi unapokaribia mawaziri wanaweza kushinda jimboni mwao bila kuathiri utendaji wa wizara yake. Waziri ni kama Chairman of the board asiye na board. Wajibu wake na kazi yake ni kuhakikisha kuwa ahadi zilizompeleka yeye na chama chake bungeni zinatekelezwa. Ni msimamizi wa policy issues, sio administration.

Mimi nashindwa kukuelewa unapomtetea Waziri kwa kukataa kuwekwa pembeni na kufanywa ndizi ya piki na Katibu Mkuu Kiongozi. Kwani malalmiko yake yalipuuzwa na Katibu Mkuu wake? Si mwenyewe amekiri kuwa KM aliyapeleka tenda bodi na jibu la tenda bodi akapewa. Ni kutokana na kushinikiza kwake kuwa yale yalikuwa ni maagizo na si ushauri, ndipo KM akaenda kwa bosi wake KMK. Hawa kila juma wanakutana, Ikulu, chini ya KMK. Sasa waziri alitaka Katibu Mkuu wake aombe baraka zake kwa lolote atakalopeleka kwa kikao cha wenzake? Akikataa kwa vile kinamhusu? KMK ametumia mamlaka aliyonayo na kwa kuangalia context ya ishu yenyewe. Alichomwagiza KM wake ni kuwa asifuate maagizo ya waziri na aachie bodi ikamilishe kazi yake. Alichokosea nini? Au ulitaka KMK amwamrishe KM afuate maagizo ya waziri ( ambayo yalikiuka taratibu za tenda) na aimrishe tenda bodi yake iwarudishe wazabuni wote walioenguliwa? Kwa kufanya hivyo si itakuwa kuingiliwa kwa taratibu za tenda na kufanya tenda yote iwe batili?

Hata Marekani ambako mawaziri ni Public Servants, kuna understanding kuwa career public servants wasiingiliwe. Ndiyo maana Attorney Genera Gonzales alilaumiwa sana alipoanza kuingiza siasa katika uajiri wa watumishi wa ofisi yake!

Kudai kuwa ni lazima Waziri ahusishwe kwa sababu yeye ndiye atakae wajibika mambo yakienda ovyo ni kuwa disingenous. Kukamilika kwa mchakato wa tenda si hatua ya mwisho. Baada ya mchakato, ripoti inatolewa ambayo ni lazima KM wake angemkabidhi. KM asingeweza kuingia mkataba na yeyote, hasa kwenye mradi sensitive kama huu, bila kupata baraka za wanasiasa. Waziri angekuwa na nafasi ya kuwasilisha ripoti ya tenda bodi pamoja na misgivings zake kwa mawaziri wenzake kwenye Cabinet. Huko kutoa duku duku zake kwa uwazi zaidi. KMK nae kama mshauri wao nae angeweza kuelezea msimamo wa KM wake. Uamuzi wa mwisho ungetolewa na Kabineti. Kama wangeona kuna kamchezo kachafu kamefanyika, wahusika wangechukuliwa hatua na tenda kufutwa na kuanza upya. Kwa vile sababu za kufutwa kwake zingewekwa wazi, basi integrity ya the whole process ingebakia. Kwa kufanya alivyofanya Waziri, hiyo integrity imepotea.

Amandla.....

Kwamba waziri anaweza kubeba ripoti kupeleka mbele ya baraza la mawaziri huku hakubaliani nayo nilikuwa sijui.

Kwa mtaji huo, basi Masha kakosea. Lakini na Katibu Mkuu Kiongozi Luhanjo nae kakosea kwa kutaka kumgeuza mwenzake second banana wake. (Second banana kwa sababu Katibu Mkuu Kiongozi aliamuru Katibu Mkuu alete ripoti hata kama Waziri hataki wala hajulishwi.)

Nilidhani tofauti zote wizarani zinanyooshwa huko, kwa kushiriaka (sio kuamrishana) na Katibu Mkuu Kiongozi, Luhanjo, kabla ripoti haijatoka, halafu waziri anasaini kwamba yeye na wizara yake wanawajibika na kila kurasa, aya, mstari, neno, herufi na nukta iliyomo kwenye ripoti. Muwajibikaji wa mwisho yeye. Kisha ripoti inatoka.

Na nikadhani kama mtu anakatazwa kuingilia kazi fulani basi anakatazwa period, kazi iishe au isiishe. Hawezi kui-taimu ikiisha akaanza kuweza mistari myekundu eti anapinga, ana batilisha. Si anatakiwa ku butt off!

Ndio maana, Fundi, nikasema Waziri atabebeshwaje, atasainishwaje, ripoti ambayo hakubaliani nayo?

Na kama hasainishwi hiyo ripoti, ina maana anaweza kuturuka katika uwajibikaji, siku mambo yameharibika akaulizwa hapa Mheshimiwa ilikuwaje katika hii ripoti, ana haki ya kutujibu "Hey folks, I just brought ya'll the darn report...I ain't read that part though...whatcha ya'll want me to do, I ain't wrote it, shoot"!
 
Lini ulimwona mwizi akakubali ameiba? Wengine wanakamatwa, red handed, hands in the cookie jar, wanakanusha, sembuse yeye? Mwacheni akanushe, atakapoletewa picha za Eagle Eye atajiju!
 
Makampuni yote watoaji rushwa wazuri, budget ya lobbying ipoQUOTE]

Mkuu siku hizi Neno lobbying costs wamefuata sababu wanafuatiliwa sana na wakaguzi wa mahesabu wafafanue.Makampuni mengi ya watoa rushwa ya kimataifa wameanzisha fungu linaitwa Consultancy Fee kwenye bajeti na vitabu vyao vya hesabu.

Kinachofanyika ni kampuni ya kigeni inajifanya inatafuta local contact ambaye atawafanyia Consultancy mfano ya business plan,market survey,legal consultancy na uwongo mwingine wa kutunga.Wakimpata huyo local consultant na kikampuni chake cha ukibaka wanaongea naye na kumwuuliza kuwa wala rushwa wakubwa waliko nchini kwake wanataka shilingi ngapi? Anawaambia.Akiwaambia wanaingia mkataba wa consultancy ambao mtu yeyote asiyewajua maharamia wa rushwa wa kimataifa aweza dhani ni mkataba kweli kumbe ni hewa.Wanakubaliana na kusaini mkataba naye halafu wanamlipa ile hela ya Rushwa kama Consultancy fee ambayo wanaionyesha hata kwenye mahesabu ya vitabu vyao. Halafu huyu local contact person (LOCAL KIBAKA) yeye anazitoa kwenye akaunti yake na kwenda kuwalipa vibaka walioko kwenye michakato ya tenda na wenye maamuzi kama mawaziri,wabunge,Wajumbe wa kamati za mchakato wa Tenda n.k

Kukomesha rushwa inatakiwa uzalendo sana wa kupenda nchi na watu wako na kuwahurumia.Vinginevyo vita hii ni kazi sana.
 
Nazona tumefikia mwisho wa mjadala huu maana mambo yale yale yanajirudia rudia. Lamsingi lililojitokeza katika mjadala huu ni kuwa wale wanye maoni kuwa Masha hana hatia wame base their opinion on ushahidi wa maandishi alioutoa Masha. Na wale ambao wanamuona Masha anahatia wame base their opinion on hisia na maneno ya magazeti. Time ndiyo ita judge ni nani yuko sahahihi.
 
The minister also denied that he has ever met representatives of Sagem Securite in Switzerland or anywhere else as claimed and challenged those with evidence to produce it.[/SIZE]

- Haya ni maneno mazito sana kama kuna ushahidi utolewe tujue nani anasema ukweli na nani anasema uongo, saafi sana.
 
Masha anatapatapa tu, Lazima atang'oka tu, unafanya mchezo na Dr Slaa nini?
 
Oh! Please!!! Just ....🙁

2009-02-17 07:04:00

Masha: I saved the IDs project
By Tom Mosoba
THE CITIZEN
Home Affairs Minister Lawrence Masha said yesterday that his intervention saved the national identity card tender process from stalling.

Mr Masha, who called a press conference to explain his role in the matter, denied that he had attempted to manipulate the tender process in favour of any private company.

He said on the contrary, his perceived interference ensured that the tender process was not abruptly called off.

The minister said the tender had been put at a risk after there appeared to be deliberate leakage of information from within the evaluation committee.

Mr Masha told the press conference that in fact three bidders, and not one company as widely known, informally raised concerns about vetting information that was not meant to be revealed before the pre-qualification process was complete.

"This has indeed been confirmed as true in the final evaluation committee report, an act that was enough to call off the entire process and start afresh," he said.

But he said in order to ensure that the ID project that has been bogged down for decades was not distracted, the ministry acted on the anomalies as advised by the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA).

Mr Masha explained that he had himself advised his permanent secretary, Mr Patrick Rutabanzibwa, who is legally mandated to intervene to liaise with PPRA over the information raised by the four firms.

"I gave this advice as the minister who carries political responsibility here knowing that the leaked information immediately raised questions about the motives of those leaking it. I wanted to ensure the credibility of the entire process was safeguarded," Mr Masha said adding it would be hypocritical of those equating this move to manipulation.

The minister said it was because of the PPRA�s advise that the final list of six firms that have been approved by the ministry to enter the bidding process was made from eight that were cleared by the tender evaluation committee.

The list, he noted, does not include all the four firms that complained earlier and among them, Sagem Securite that a section of the media has linked his name with.

He said another firm that was also left out had been cleared despite exhibiting similar weaknesses that saw others struck out and which could successfully be challenged ion court.

The minister, however said, any of the firms that feels aggrieved was free to seek justice in court as required. But for now the law forbids them to participate in the process, he said.

Mr Masha said he was wrongly being vilified and accused in a section of the media over an official letter he wrote to the Prime Minister explaining the technicalities that surrounded the vetting process and some of the complaints raised by the four firms.

He said he was not acting on anyone�s behalf when he wrote the letter whose leakage from the ministry, he said, was being investigated by an internal committee to establish who was behind it and seal the loopholes.

He said it was the same letter to the PM that an opposition Member of Parliament, Dr Willibrod Slaa (Karatu-Chadema), had intended to table in Parliament as proof of his alleged corrupt dealings.

The minister also denied that he has ever met representatives of Sagem Securite in Switzerland or anywhere else as claimed and challenged those with evidence to produce it.

He showed reporters documents, including his passport and travel itinerary and the letter from PPRA to back his defence.

He said reports have said he was in Switzerland on wrong dates and also failed to verify reports that Sagem Securite had been involved in corruption and banned from Nigeria. Mr Masha produced a letter from the Nigerian high commission in Dar es Salaam to show that the firm was still operating in Nigeria.

The minister said he was contemplating to sue newspapers and reporters linking him with corruption over the ID project. I have already instructed my lawyers to start looking at all the reports and institute proper libel charges against those implicated, he said.

He accused people he did not name of pursuing a vendetta against him. He, however, said he personally did not have harbour ill will towards anyone.

Mr Masha said he supported the need for the Government to check the proliferation of newspapers that were mudslinging leaders and other individuals for purely selfish goals.

Six companies have been shortlisted for IDs project. They include Unisys of South Africa, Giesecke & Devrient FZE of Dubai, Iris Corporation Berhad (Malaysia) and Madras Security Printers (India).

Others are Marubeni Corporation, working with Zetes and NEC from Japan, and Tata Consultancy Services working with Ontrack Innovations Ltd from India.
 
Wakulu, najua kuwa kuna thread inaendelea kuhusu Mh Masha na kashfa ya vitambulisho vya Taifa. Hata hivyo nimeona niwapenyezee taarifa hii kipekee ili muweze kuwa updated kuhusu suala la Mh Masha na Vitambulisho vya Taifa.

Nimeipta sasa hivi kupitia cloud FM kuwa kesho kutakuwa na mazungumzo live kati ya Mh. Masha na power Breakfast (PJ, na Uncle G. Hando) kwa hiyo naomba mtaoweza msikize mahojiano hayo.

Kuna machache ya kujiuliza hata hivyo:-

1. Je, ni ule mkakati wa kumsafisha Masha ulioripotiwa na Gazeti la Mwana Halisi ndo umeiva?

2. Mbona Mh.Masha alikuwa kimya wakati tuhuma hizi zikirindima ndani na nje ya Bunge hadi jana (ripoti ya magazeti ya leo) ndipo alipokanusha kuhusika na tena ni Jana hiyo magazeti yaliripoti kuwa Seriakali imeachana na suala la Masha? (Rejea Mkakati wa Kumsafisha Masha kwa mujibu wa Mwanahalisi).

Tufuatilie mahojianao ya kesho na Power Breakfast huku tukizingatia Habari za MwanaHalisi pia ili tuweze kuwa fair.
 
Hebu tuangalie hii habari inachosema hasa. Kumbuka nimesema hapo nyuma kuwa maneno nayo ni fani, ni wa wachache tunaimudu, Masha si mmojawao.

Mr Masha told the press conference that in fact three bidders, and not one company as widely known, informally raised concerns about vetting information that was not meant to be revealed before the pre-qualification process was complete.

What does this "informally raised" means? Could it be during lunch, breakfast, or dinner, or something that we would consider to be "unofficial"? But even more interesting is how did they "informally raised" these issues. To me it sounds that the concern were not raised through a letter because that will make it official!

My interpretation is confirmed by how Habari Leo reported the same news conference concerning the same issue "Akielezea kilichotokea, Masha alisema wakati mchakato huo ambao ni wa siri ulipokuwa ukiendelea, kuna kampuni zilizokuwa zimeomba zabuni hiyo ambazo zilituma wawakilishi wao kwake na kudai kuwa zinatendewa isivyo katika mchakato"

What do you read here? According to Habari Leo Masha admitted that he met the representatives of some companies! Otherwise, how can you explain the statement "zilituma wawakilishi wake kwake"? This removes any doubt that the concerns were not raised through regular channels.

But more interesting is the question, where and when did he meet the representatives of these "four" different companies. Was it at the IA offices in Dar where I would suppose there is a guest book that these might have signed. Could it be somewhere on transit from Dubai to Tanzania..?
Mr Masha explained that he had himself advised his permanent secretary, Mr Patrick Rutabanzibwa, who is legally mandated to intervene to liaise with PPRA over the information raised by the four firms.

This is where Masha keeps entangling himself in the web of deception he is trying very hard to weave! If a: Patrick is the one "legally mandated to intervene to liaise with PPRA" why then (b.) did the four companies complain to the Minister who is not "legally mandated to intervene"? And why this complaints were given in an informal way through unnamed and undated channels? Masha knows the answers.

"I gave this advice as the minister who carries political responsibility here knowing that the leaked information immediately raised questions about the motives of those leaking it. I wanted to ensure the credibility of the entire process was safeguarded,"

This is very interesting. At face value one can sense a patriotic spirit, a desire to safeguard the welfare and interests of the nation. But looked closely we can see that Masha did not try to oppose this white elephant project! We at Cheche will explore this in our next issue. To us it doesn't matter who is the Minister of Internal Affairs, we stand opposing this misuse and abuse of public funds for this unnecessary, highly expensive and unneeded ID project!

If Masha wanted to be a hero, he should have opposed it through Cabinet meetings where he has powers like any other minister or even quit in opposition. By his continued support and defense of this ill-thought project Masha has shown lack of clear judgment of issues and an obvious weakness of persuasive skills.

Mr Masha said adding it would be hypocritical of those equating this move to manipulation.

If what he did was not manipulation of the first order, then manipulation has lost its meaning! Remember when one try to manipulates somebody its not because for wrong reasons, sometimes they will present very good reasons to justify such moves. I would argue that is what Masha did.

The minister said it was because of the PPRA�s advise that the final list of six firms that have been approved by the ministry to enter the bidding process was made from eight that were cleared by the tender evaluation committee.

Is he trying to suggest that without his intervention the tender board would have not reached the conclusions that it did reach? I think he does!

The list, he noted, does not include all the four firms that complained earlier and among them, Sagem Securite that a section of the media has linked his name with. He said another firm that was also left out had been cleared despite exhibiting similar weaknesses that saw others struck out and which could successfully be challenged ion court.

What about the six firms that are left? does he or his close associates have any vested interests in them that Mr. Masha need to disclose?

The minister, however said, any of the firms that feels aggrieved was free to seek justice in court as required. �But for now the law forbids them to participate in the process,� he said.

I'll bet a nickel that I know what companies will be the first one to challenge their denial in court. And I can even bet you a dollar that I know what law firm will represent them!

He said he was not acting on anyone�s behalf when he wrote the letter whose leakage from the ministry, he said, was being investigated by an internal committee to establish who was behind it and seal the loopholes.

This is sad, I hope he remembers what he wrote in the letter!

The minister also denied that he has ever met representatives of Sagem Securite in Switzerland or anywhere else as claimed and challenged those with evidence to produce it.

He already admitted that he did! I hope he doesn't have some memory problem!

He said reports have said he was in Switzerland on wrong dates and also failed to verify reports that Sagem Securite had been involved in corruption and banned from Nigeria. Mr Masha produced a letter from the Nigerian high commission in Dar es Salaam to show that the firm was still operating in Nigeria.

The Nigeria angle is irrelevant and immaterial!

People are missing some telling contradictions!
 
Last edited:
Juhudi hizo za kujitakasa zimeanza. Lakini namwaminia sana Gerald pale Power Breakfast.
 
Hata mimi nimesikia nasubiri kesho tusikie jamaa atasema nini,ila jamaa naona kaamua kujisafisha kwani alianza kuongea na TBC Jambo Tanzania,then akaitisha press conference na wahariri na sasa anaenda Powerbreakfast
 
Huyu Masha vipi huyu, yaani hajajua siasa za Tanzania? Angalia usijelisanua lingine tu huko maana kkuna watu wako midomo wazi kama mamba anayewinda prey ufukweni.
 
Back
Top Bottom