Historia ni mwalimu: Augustino Mrema alivyowika na Kashfa ya Loliondo uchaguzi mkuu wa mwaka 1995

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995.

Leo 10:15 hrs 12/06/2022

Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa wapaza sauti na wapinzani wa kweli wa wakati huo miaka 1993 Ndugu Augustino Lyatonga Mrema, Mabere Marando, Daktari Masumbuko Lamwai na Mh Makongoro Nyerere,ndugu zangu ikiwa kama suala ni ardhi basi Wamasai waelimishwe. Je, ardhi yetu inauzwa au inaboreshwa kwa ajili ya utunzaji wa mbuga zetu hili ndilo somo kubwa na kwa mapana yake,

Suala la ardhi huu ni urithi wetu sote tunakubaliana kwamba hakuna mtu wala mkoloni anayetakiwa kupewa nguvu na ushujaa wa wapiganaji wetu waliodai Uhuru,Ukweli ni kwamba tunapokodisha ardhi iliyobeba mali asili yetu na tunu za taifa inaondoa kabisa maana ya Uhuru na inafikia mtu kujiuliza kwa nini tulipigania Uhuru kwani ardhi ndio ilikuwa sababu ya kwanza..Tungeweza kabisa ku lease ardhi ile kwa wakoloni toka wakati ule bila kudai Uhuru na kama alivyokuwa akipenda kuzungumza Hayati Rais Mugabe hata Hayati Rais Magufuli kwamba ardhi ni mali ya wananchi, Serikali inaweza kufanya yote yenyewe bila kukodisha ardhi yenye tunu za taifa,Uhuru wetu si kuwa na sura ya Mmatumbi,Msukuma,Mgogo au Mluguru pale nyumba nyeupe,bali kusimamia rasilimali zetu na tunu zetu za taifa la Tanzania.

Kashfa ya Loliondo ilisemekana kuuzwa mbuga ya Loliondo binafsi sikufurahia kuuzwa kwa mbuga zetu,Tatizo kubwa la uuzaji wa mbuga zetu ni kwamba sasa hivi Ulaya na nchi zote zilizoendelea wanafungua Zoo za wanyama wetu kiasi kwamba zinapunguza pato la nchi yetu katika Utalii,na kibaya zaidi hawa wawekezaji wamekuwa walanguzi middlemen katika biashara ambayo sisi wenyewe tungeweza kuifanya na kwa pato kubwa zaidi kwani hawa wawekezaji ndio wao supplier wakubwa wa wanyama wetu katika hizo Zoo. Ni ujinga mkubwa kuuza mbuga yetu kwa thamani ambayo mauzo ya tembo wawili tu wanaweza kulipia kodi ya mwaka. na kutokana na ndivyo tulivyo tumeshindwa kuuza sisi wenyewe wanyama wetu tunawapa walanguzi.

Kashfa ya Loliondo ilitufundisha mengi,tulijua kuwa wawekezaji uchwara walipokuja mara ya kwanza - Loliondo 1 hawakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe; waliporudi tena kwenye Loliondo - 2 hawakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe, na mwaka ule alipokuja tena mwana wa Zayed hakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe! Nyumba nyeupe ndio mlango wao rahisi kabisa na ndio wamekuwa wakiutumia,kama nyumba nyeupe wakitaka kubadilisha sera wanaweza.

Tundu Lissu ameandika katika ukurasa wake akisema"Ardhi ya Ngorongoro ni mali ya Masai wa Ngorongoro Kwa mujibu ya sheria ya hifadhi ya Ngorongoro.Mgogoro wa leo ulianza 1992/93 wakati brigedia Al Ally(Jina gumu kidogo) alipopewa pori tengefu la Loliondo kwaajili ya uwindaji. Game reserve ni maeneo yanayoruhusiwa uwindaji, ndio watu wa wanyamapori wanapotengenezea pesa zao pale"

Kumbe tatizo ni ardhi ambayo ndiyo urithi wa Mtanzania,lakini pia tatizo ni mchakato mzima wa uwekezaji yaani mikataba inayoingiwa na viongozi wetu kuweza kuruhusu uwekezaji katika ardhi ya Mtanzania na Loliondo ni mfano mzuri kwani ni ufisadi uliotangulia ufisadi mwingine mkubwa,pengine mwaka 1993 tunaweza kusema Wananchi walikuwa bado hawajachangamka na tunaweza iweka kashfa ya Loliondo ya mwaka 1993 kama jaribio kubwa la kwanza la kuuza urithi wa watoto wetu kwa wageni.

Gazeti la New York Times mwaka 1993 liliandika hii kashfa ya loliondo kwa jina la " Loliondogate' kama mambo ya mwaka 1993 yatajirudia tena leo mwaka 2022 basi,Political analysis zetu zimeshindwa kuelezea tatizo letu,Hata sociological analysis zimegonga mwamba,kilichobaki ni psychoanalysis/psychological analysis - we must be very very sick upstairs! kumbuka adui wakuu wawili kati ya wale watatu ni Maradhi na Ujinga! Issue ya Loliondo ni very sensitive kwa mtu anayeijua historia ya nchi ya Tanzania,ndio maana umeona Tundu Lissu kaongelea suala hilo la Ngorongoro maana anajua mnyukano uliotokea mwaka 1993,na alitaja jina gumu kidogo na jina lililotajwa tajwa sana kwenye kashfa ya Loliondo Brigadier Ali-Ally.

Shida tuliyonayo leo hakuna mpinzani wa kweli na Mzalendo kama Augustino Lyatonga Mrema alivyochachamaa mwaka 1993 kwenye hiyo kashfa ya Loliondo,Chadema hivi leo ukimtuliza Mbowe basi umemaliza kila kitu,pengine Tundu Lissu atapiga kelele lakini je nae akishiba ulaya akiwa hana njaa je ataongea,Lema anakula bure uko alipo na ada za watoto zinalipwa bure,kwa sasa Arusha upepo umebadilika hana uwezo wa kushinda hata udiwani, salama yake ni kubaki huko aliko akiamka anaweka bando anapinga kidogo,mchana ukifika anaenda kuchukua mapaja ya kuku KFC anakula.

Miaka ya 1993 Augustino Lyatonga Mrema alikuwa mpiganaji wa kweli wa upinzani,bila kumsahau Makongoro Nyerere,Mabere Marando,Daktari Masumbuko Lamwai, waliozaliwa juzi walimkuta Augustino Lyatonga Mrema kwenye vyama vya TLP lakini Mrema original ni yule wa NCCR MAGEUZI ,Mrema aliyepigia kelele mauaji ya Generali Kombe,Mrema aliyepigia kelele kashfa ya Chavda na Mrema yule Waziri na mwanachama wa CCM aliyemwabia Rais hiki cheo cha uwaziri kinaninyima kuwa free na kuwatetea Wananchi na kesho yake asubuhi akatumbuliwa,That was Mrema at its best,wapo wanaohoji pengine angepenya na kuwa Rais angefaa au angekuwa kama wengine,hapo sina jibu,

Kuna saikolojia ya watu kuwa very efficient under a person and by taking commands but when it comes to leading themselves it's very hard. That's why unakuta mtu alikuwa mchapakazi na mtendaji mzuri lakini anapo pewa kuongoza yeye inamuwia ngumu. Not to belittle anyway but kila mtu na kipaji chake,Kwa kuwa Mrema hakuweza kufikia ngazi ya Urais,kwa namna hiyo tunaweza kusema Mrema was efficient under a person but not as the top leader himself,hii ni kwa research ya uongozi wake kama kiongozi mkuu wa chama tangu alipo jiunga upinzani na yeye kuwa kiongozi mkuu wa chama,utendaji wake hapo tunaweza kujua what kind of president he might have made. I stand to be corrected.

Miaka hiyo ya 1993 kulikuwa na kitu kinaitwa Trophy Hunting ni mchezo uliokomaa sana Marekani na nchi nyingi za Ulaya. Hivyo wawindaji kwa sehemu kubwa ni wazungu,wawindaji huwa wanaongozwa na walinzi ambao mara nyingi ni ndugu zetu wa damu,na kwa maneno ya mwindaji mmoja kutoka Denmark anasema kuwa ukitoa kitu kidogo, waongozaji watakuruhusu kuua wanyama zaidi ya wale uliopewa,je katika matatizo haya wa kulaumiwa ni nani? wakulaumiwa ni sisi wenyewe,tutatoa lawama kwa huyu Brigadia, lakini huyu ni investor,na mamilioni yake hakuyapata kutoka mbinguni,aliyafanyika kazi sehemu nyingine kabla ya kuja Tanzania.

Mzungu ametuzidi akili na ndio maana tuna kuku wa kizungu,ng'ombe wa kizungu, nyanya tunaita Tomato sauce, na ndizi za banana,waarabu wa Loliondo wamekuja kama investor ku-diversify invenstments zao,customers wao ni watu wa kutoka kwenye mataifa yote na wenye pesa,kama wanakiuka mikataba yao, tunaweza ku-revoke license yao,na kama wanachofanya ni sahihi kutokana na makubaliano ya mikataba, basi wa kujilaumu ni watanzania wenyewe,matatizo ya watanzania ni kutokuwa serious wanaposaini mikataba na ndio maana tuna matatizo katika mikataba mingi.

Nimalizie kwa kusema Wasemaji na wapinzani wa miaka hiyo ya 1993 walitoa madai mazito juu ya kashfa ya kuuzwa kwa mbuga ya Loliondo kashfa ambayo hata kuthibitisha walikuwa na uhakika nayo na hata kufanya kashfa hiyo kuwa moja ya karata ya Mgombea urais,Uchaguzi wa mwaka 1995,kwa tiketi ya NCCR Mageuzi,Ndugu Augustino Lyatonga Mrema ambae aling'atuka CCM baada ya kutumikia nyadhifa mbalimbali kama Naibu Waziri Mkuu,Waziri wa Mambo ya ndani,Augustino Lyatonga Mrema ndiye mpinzani wa kwanza aliyejaza mafuriko ya watu pale Jangwani,jijini Dar es Salaam na kumshangaza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,umaarufu wa Augustino Lyatonga Mrema ulitokana na uwezo wake wa kulipua na kuzizungumza kashfa mbalimbali kama kashfa ya milioni 900 za mkonge dhidi ya Chavda na kashfa ya kuuzwa kwa mbuga ya Loliondo katika hifadhi ya Ngorongoro,

Tutawakumbuka daima Daktari Masumbuko Lamwai,Mabere Marando,bila kumsahau Mh Makongoro Nyerere, mtoto wa Mwalimu Nyerere aliyeonyesha Uzalendo wa Baba yake kwa vitendo kwa kuungana na watetezi wa tunu za taifa hata kuwa kampeni meneja wa Ndugu Augustino Lyatonga Mrema kupitia chama cha NCCR Mageuzi,katika Uchaguzi Mkuu wa Urais wa mwaka 1995,Wazalendo awa walikuwa hawazungumzii "kitu" unless kina harufu fulani ya kuhujumu tunu za taifa la Tanzania ikiwa"nje ya picha kamili" watu waliona ni madai yasiyo na msingi, hayana ukweli, na hata ukitumia karne kutafuta ushahidi huwezi kupata,taifa lilikuwa katika usingizi mzito wakati huo,lakini NCCR Mageuzi chini ya Augustino Lyatonga Mrema,Mabere Marando, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere walizungumzia vitu kwa jinsi vilivyo bila ya kuangalia kitu kingine zaidi ya kile kilichopo,wenye kazi ni wale wenye kutafsiri lakini kazi yao kuibua kashfa za Ufisadi waliifanya kwa Uzalendo mkubwa,issue ya Loliondo iliondoka na Waziri na viongozi wengine,na tokea hapo Wizara ya Maliasili imekuwa ikifukuza na kubadili mawaziri,sababu ni Wizara nyeti sana iliyobeba tunu za Taifa la Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Kila akiingia rais kutoka dini flani(inafahamika tu ila kwa unafiki wa kitanganyika naweka tafsida) lazima nchi imegwe kipande na kuuzwa

Dini haina shida ni kama walivyokuwa wanatumika waarabu kukamata mababu zetu na kuwauzia wazungu, dhambi huwa Ina tabia ya kuji-encode kwenye DNA.

"Life's tough. It's tougher if you're stupid."
JOHN WAYNE, Western film icon
 
Mwaka huu mwezi wa kumi nisipo pata laki 5 milioni moja..na kamata mkegejo.

Sijui nani ostabei, kwa mpalange.

Za kichwa tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Haya mambo ni yaleyale ,
 
Rest in eternal peace kamanda, alama yako imebaki Mzee Mrema. Vituo vyote vya polisi post, uniform za makondakta wa daladala, polisi kusafiri bure kwenye daladala, kila daladala lazima ibebe wanafunzi watano5, sungusungu, majambazi kusalimisha silaha Kwa hiyari vyote ni sehemu ya mambo uliyoyaasisi na yanabaki kuwa alama ya uongozi wako. Achilia mbali usimamizi wako kwenye unyanyasaji wa kijinsia pale ulipowakusanya wanawake wa Dar kwenye ukumbi wa Tazara kuzungumzia na kuweka Sheria Kali dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia. Wewe ulikua waziri wa mfano Kwa watanzania. Hajawahi tokea waziri wa mambo ya ndani aliyeweza kuvaa viatu vyako. Ulifanya kazi kubwa kiasi cha Rais Mwinyi kukupa cheo cha Naibu waziri mkuu sanjari na uwaziri wa mambo ya ndani ili kukuwekea kinga dhidi ya watendaji walioanza kutaka kukukwamisha kwenye kutekeleza majukumu yako. Nakumbuka jinsi Mama Mary Chipungahelo alivyolalamika kwamba unaingilia majukumu yake ya ukuu wa mkoa😂😂, unaibu waziri mkuu ulisaidia kuwanyamazisha. Kalale pema peponi Mzee Mrema.
 
HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995.

Leo 10:15 hrs 12/06/2022

Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa wapaza sauti na wapinzani wa kweli wa wakati huo miaka 1993 Ndugu Augustino Lyatonga Mrema, Mabere Marando, Daktari Masumbuko Lamwai na Mh Makongoro Nyerere,ndugu zangu ikiwa kama suala ni ardhi basi Wamasai waelimishwe. Je, ardhi yetu inauzwa au inaboreshwa kwa ajili ya utunzaji wa mbuga zetu hili ndilo somo kubwa na kwa mapana yake,

Suala la ardhi huu ni urithi wetu sote tunakubaliana kwamba hakuna mtu wala mkoloni anayetakiwa kupewa nguvu na ushujaa wa wapiganaji wetu waliodai Uhuru,Ukweli ni kwamba tunapokodisha ardhi iliyobeba mali asili yetu na tunu za taifa inaondoa kabisa maana ya Uhuru na inafikia mtu kujiuliza kwa nini tulipigania Uhuru kwani ardhi ndio ilikuwa sababu ya kwanza..Tungeweza kabisa ku lease ardhi ile kwa wakoloni toka wakati ule bila kudai Uhuru na kama alivyokuwa akipenda kuzungumza Hayati Rais Mugabe hata Hayati Rais Magufuli kwamba ardhi ni mali ya wananchi, Serikali inaweza kufanya yote yenyewe bila kukodisha ardhi yenye tunu za taifa,Uhuru wetu si kuwa na sura ya Mmatumbi,Msukuma,Mgogo au Mluguru pale nyumba nyeupe,bali kusimamia rasilimali zetu na tunu zetu za taifa la Tanzania.

Kashfa ya Loliondo ilisemekana kuuzwa mbuga ya Loliondo binafsi sikufurahia kuuzwa kwa mbuga zetu,Tatizo kubwa la uuzaji wa mbuga zetu ni kwamba sasa hivi Ulaya na nchi zote zilizoendelea wanafungua Zoo za wanyama wetu kiasi kwamba zinapunguza pato la nchi yetu katika Utalii,na kibaya zaidi hawa wawekezaji wamekuwa walanguzi middlemen katika biashara ambayo sisi wenyewe tungeweza kuifanya na kwa pato kubwa zaidi kwani hawa wawekezaji ndio wao supplier wakubwa wa wanyama wetu katika hizo Zoo. Ni ujinga mkubwa kuuza mbuga yetu kwa thamani ambayo mauzo ya tembo wawili tu wanaweza kulipia kodi ya mwaka. na kutokana na ndivyo tulivyo tumeshindwa kuuza sisi wenyewe wanyama wetu tunawapa walanguzi.

Kashfa ya Loliondo ilitufundisha mengi,tulijua kuwa wawekezaji uchwara walipokuja mara ya kwanza - Loliondo 1 hawakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe; waliporudi tena kwenye Loliondo - 2 hawakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe, na mwaka ule alipokuja tena mwana wa Zayed hakwenda Bungeni bali nyumba nyeupe! Nyumba nyeupe ndio mlango wao rahisi kabisa na ndio wamekuwa wakiutumia,kama nyumba nyeupe wakitaka kubadilisha sera wanaweza.

Tundu Lissu ameandika katika ukurasa wake akisema"Ardhi ya Ngorongoro ni mali ya Masai wa Ngorongoro Kwa mujibu ya sheria ya hifadhi ya Ngorongoro.Mgogoro wa leo ulianza 1992/93 wakati brigedia Al Ally(Jina gumu kidogo) alipopewa pori tengefu la Loliondo kwaajili ya uwindaji. Game reserve ni maeneo yanayoruhusiwa uwindaji, ndio watu wa wanyamapori wanapotengenezea pesa zao pale"

Kumbe tatizo ni ardhi ambayo ndiyo urithi wa Mtanzania,lakini pia tatizo ni mchakato mzima wa uwekezaji yaani mikataba inayoingiwa na viongozi wetu kuweza kuruhusu uwekezaji katika ardhi ya Mtanzania na Loliondo ni mfano mzuri kwani ni ufisadi uliotangulia ufisadi mwingine mkubwa,pengine mwaka 1993 tunaweza kusema Wananchi walikuwa bado hawajachangamka na tunaweza iweka kashfa ya Loliondo ya mwaka 1993 kama jaribio kubwa la kwanza la kuuza urithi wa watoto wetu kwa wageni.

Gazeti la New York Times mwaka 1993 liliandika hii kashfa ya loliondo kwa jina la " Loliondogate' kama mambo ya mwaka 1993 yatajirudia tena leo mwaka 2022 basi,Political analysis zetu zimeshindwa kuelezea tatizo letu,Hata sociological analysis zimegonga mwamba,kilichobaki ni psychoanalysis/psychological analysis - we must be very very sick upstairs! kumbuka adui wakuu wawili kati ya wale watatu ni Maradhi na Ujinga! Issue ya Loliondo ni very sensitive kwa mtu anayeijua historia ya nchi ya Tanzania,ndio maana umeona Tundu Lissu kaongelea suala hilo la Ngorongoro maana anajua mnyukano uliotokea mwaka 1993,na alitaja jina gumu kidogo na jina lililotajwa tajwa sana kwenye kashfa ya Loliondo Brigadier Ali-Ally.

Shida tuliyonayo leo hakuna mpinzani wa kweli na Mzalendo kama Augustino Lyatonga Mrema alivyochachamaa mwaka 1993 kwenye hiyo kashfa ya Loliondo,Chadema hivi leo ukimtuliza Mbowe basi umemaliza kila kitu,pengine Tundu Lissu atapiga kelele lakini je nae akishiba ulaya akiwa hana njaa je ataongea,Lema anakula bure uko alipo na ada za watoto zinalipwa bure,kwa sasa Arusha upepo umebadilika hana uwezo wa kushinda hata udiwani, salama yake ni kubaki huko aliko akiamka anaweka bando anapinga kidogo,mchana ukifika anaenda kuchukua mapaja ya kuku KFC anakula.

Miaka ya 1993 Augustino Lyatonga Mrema alikuwa mpiganaji wa kweli wa upinzani,bila kumsahau Makongoro Nyerere,Mabere Marando,Daktari Masumbuko Lamwai, waliozaliwa juzi walimkuta Augustino Lyatonga Mrema kwenye vyama vya TLP lakini Mrema original ni yule wa NCCR MAGEUZI ,Mrema aliyepigia kelele mauaji ya Generali Kombe,Mrema aliyepigia kelele kashfa ya Chavda na Mrema yule Waziri na mwanachama wa CCM aliyemwabia Rais hiki cheo cha uwaziri kinaninyima kuwa free na kuwatetea Wananchi na kesho yake asubuhi akatumbuliwa,That was Mrema at its best,wapo wanaohoji pengine angepenya na kuwa Rais angefaa au angekuwa kama wengine,hapo sina jibu,

Kuna saikolojia ya watu kuwa very efficient under a person and by taking commands but when it comes to leading themselves it's very hard. That's why unakuta mtu alikuwa mchapakazi na mtendaji mzuri lakini anapo pewa kuongoza yeye inamuwia ngumu. Not to belittle anyway but kila mtu na kipaji chake,Kwa kuwa Mrema hakuweza kufikia ngazi ya Urais,kwa namna hiyo tunaweza kusema Mrema was efficient under a person but not as the top leader himself,hii ni kwa research ya uongozi wake kama kiongozi mkuu wa chama tangu alipo jiunga upinzani na yeye kuwa kiongozi mkuu wa chama,utendaji wake hapo tunaweza kujua what kind of president he might have made. I stand to be corrected.

Miaka hiyo ya 1993 kulikuwa na kitu kinaitwa Trophy Hunting ni mchezo uliokomaa sana Marekani na nchi nyingi za Ulaya. Hivyo wawindaji kwa sehemu kubwa ni wazungu,wawindaji huwa wanaongozwa na walinzi ambao mara nyingi ni ndugu zetu wa damu,na kwa maneno ya mwindaji mmoja kutoka Denmark anasema kuwa ukitoa kitu kidogo, waongozaji watakuruhusu kuua wanyama zaidi ya wale uliopewa,je katika matatizo haya wa kulaumiwa ni nani? wakulaumiwa ni sisi wenyewe,tutatoa lawama kwa huyu Brigadia, lakini huyu ni investor,na mamilioni yake hakuyapata kutoka mbinguni,aliyafanyika kazi sehemu nyingine kabla ya kuja Tanzania.

Mzungu ametuzidi akili na ndio maana tuna kuku wa kizungu,ng'ombe wa kizungu, nyanya tunaita Tomato sauce, na ndizi za banana,waarabu wa Loliondo wamekuja kama investor ku-diversify invenstments zao,customers wao ni watu wa kutoka kwenye mataifa yote na wenye pesa,kama wanakiuka mikataba yao, tunaweza ku-revoke license yao,na kama wanachofanya ni sahihi kutokana na makubaliano ya mikataba, basi wa kujilaumu ni watanzania wenyewe,matatizo ya watanzania ni kutokuwa serious wanaposaini mikataba na ndio maana tuna matatizo katika mikataba mingi.

Nimalizie kwa kusema Wasemaji na wapinzani wa miaka hiyo ya 1993 walitoa madai mazito juu ya kashfa ya kuuzwa kwa mbuga ya Loliondo kashfa ambayo hata kuthibitisha walikuwa na uhakika nayo na hata kufanya kashfa hiyo kuwa moja ya karata ya Mgombea urais,Uchaguzi wa mwaka 1995,kwa tiketi ya NCCR Mageuzi,Ndugu Augustino Lyatonga Mrema ambae aling'atuka CCM baada ya kutumikia nyadhifa mbalimbali kama Naibu Waziri Mkuu,Waziri wa Mambo ya ndani,Augustino Lyatonga Mrema ndiye mpinzani wa kwanza aliyejaza mafuriko ya watu pale Jangwani,jijini Dar es Salaam na kumshangaza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,umaarufu wa Augustino Lyatonga Mrema ulitokana na uwezo wake wa kulipua na kuzizungumza kashfa mbalimbali kama kashfa ya milioni 900 za mkonge dhidi ya Chavda na kashfa ya kuuzwa kwa mbuga ya Loliondo katika hifadhi ya Ngorongoro,

Tutawakumbuka daima Daktari Masumbuko Lamwai,Mabere Marando,bila kumsahau Mh Makongoro Nyerere, mtoto wa Mwalimu Nyerere aliyeonyesha Uzalendo wa Baba yake kwa vitendo kwa kuungana na watetezi wa tunu za taifa hata kuwa kampeni meneja wa Ndugu Augustino Lyatonga Mrema kupitia chama cha NCCR Mageuzi,katika Uchaguzi Mkuu wa Urais wa mwaka 1995,Wazalendo awa walikuwa hawazungumzii "kitu" unless kina harufu fulani ya kuhujumu tunu za taifa la Tanzania ikiwa"nje ya picha kamili" watu waliona ni madai yasiyo na msingi, hayana ukweli, na hata ukitumia karne kutafuta ushahidi huwezi kupata,taifa lilikuwa katika usingizi mzito wakati huo,lakini NCCR Mageuzi chini ya Augustino Lyatonga Mrema,Mabere Marando, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere walizungumzia vitu kwa jinsi vilivyo bila ya kuangalia kitu kingine zaidi ya kile kilichopo,wenye kazi ni wale wenye kutafsiri lakini kazi yao kuibua kashfa za Ufisadi waliifanya kwa Uzalendo mkubwa,issue ya Loliondo iliondoka na Waziri na viongozi wengine,na tokea hapo Wizara ya Maliasili imekuwa ikifukuza na kubadili mawaziri,sababu ni Wizara nyeti sana iliyobeba tunu za Taifa la Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Nakubaliana kabisa na uliyoyasema. Ardhi ni mali ya Taifa. Huwezi kumhujumu mzalendo eti ili muwekezaji aje. Lafudhi inayotumika hivi sasa ni 'kufungua nchi'. Watemi wetu kabla ya ukoloni walikuwa wakifanya hayo hayo. Anapewa gobele la kuwindia, au jola la kaniki na pesa kidushu; yeye anatoa kipande cha ardhi na Mzungu anafurahi kwa kuwa ana ushahidi kwamba ardhi ameuziwa.

Jambo la ardhi ndilo lililoleta matatizo Afrika Kusini, Zimbabwe na hata Kenya, mpaka wakina mzee Kenyatta wakaanzisha vita vya Mau Mau. Mbaya ya yote ni kwamba historia yote hiyo tunaifahamu; na bado tunachekelea kwamba 'Mama anafungua nchi'! Wazee wetu wa zamani waliokuwa wakiuza nchi hivyo hatuwezi kuwalaumu sana kwani upeo wa fikra zao ulikuwa mdogo na hawakuwa na mifano iliyotangulia ya kuwasaidia kuamua. Lakini sisi tuna bahati ya historia. Tunafahamu matatizo yaliyojitokeza kutokana na mikataba ya aina hiyo tunayoingia. Hayo mabilioni wanayotoa Waarabu hivi sasa yatakuja kuonekana kama kichekesho tu siku za usoni; sawa na sisi tunavyoona hivi sasa walichokuwa wakipewa wazee wetu kabla ya ukoloni. Hatuwezi kusamehewa kamwe kwa kuingia mikataba ambayo tunafahamu fika madhara yake kutokana na historia.
 
Kuweni makini na siasa. Ni mchezo mchafu sana!
Deep System ya Tz inauwezo wa kutengeneza wanasiasa wa vipindi kwa lengo la kuwapumbaza wananchi!
 
Back
Top Bottom