Leo Masha amejaribu kujitetea wakati anahojiwa na TBC1. Hata hivyo amenishangaza pale aliposema kuwa ile barua kwa PM ilikuwa kwa ajili ya kumweleza maendeleo ya uchambuzi wa tenda (Just a note to give him a sort of progress report)???? Je kwa wale walioiona hiyo barua inafanana na progress report? Pia amekanusha kukutana na Segem huko Uswiss na akasema tarehe zilizotajwa hakuwa Geneva bali aliondoka Dar 5 Oktoba 2008. Nani anasema ukweli hapa?? Yapo mengi aliyojaribu kusema lakini jingine la kushangaza ni kuwa Segem imetolewa kwa sababu ilitoa malalamiko kuhusu tenda bila kufuata utaratibu.
Kwa hiyo LM anasema hana kashfa yoyote na hawezi kujiuzulu. Hata hivyo amesema kama kuna ushahidi wa kuonesha kuwa alivunja sheria yuko tayari kuanchia mchuma.
Just. Kupenda kujua, ilikuaje je ni kweli? kwamba,
"Lawrence Masha traveled to Geneva to attend a UN meeting on Refugees.
He boarded Swiss Air from Dar es Salaam. Before he left for Genevea, he requested his business associate, Edan Eyakuza, to call the officials from SAGEM and fix a meeting in Geneva.
"Masha met with two officials led by Chairman and CEO, JeanLin Fournereaux from a Spain Based Company, Sagim, which is one of the bidders in the nation IDs Project for three hours, trying to lay down the strategies of how to win the tender."
"Next day (6th) the minister toured the companys branch located at Max-Schmidheiny-Strasse 202 CH 9435 Heerbrugg SWITZERLAND, AS PART OF THE INVITATION OF THE CHAIRMAN.
"The meeting was coordinated by Mashas close business associate, Edan Eyakuze, from Dar es Salaam. He is the focal point for all communications between Sagim and Mr. Masha"
"The meeting took place on October 5, 2008 from 6pm-8pm(GMT) at, Mandarin Oriental Hotel, Suite No 0306."
"After the meeting, the three officials have a dinner together at the same Hotel. Masha returned in the country on October 11 at 6pm and hard a serious briefing to his business associate, Edan Eyakuze, on his way to home. He was briefing him over the phone, and two key witnesses were around, his personal assistance and a driver.":
Akiwa njiani akitokea Geneva, Katika mazungumzo yake Masha alisikika akisema, Wamejicommit 5 percent. Nadhani inatosha, kwa sababu wana orodha ya wengine pia. Lets work hard to ensure kwamba wanashinda kwa maslahi ya nchi yetu na sisi pia. Tukutane nikubrief zaidi. Wakiingia kwenye final stage, wanashinda, labda itokee miujiza."
Na hii hapa: "Their conversations over the phone lasted for about 20 minutes. They then agreed to have a meeting that evening at Regency Park Hotel."