Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,159
Don't get your hopes up high....inawezekana akarushiwa vi-softballs halafu mkaishia kuikandia clouds na watangazaji wake....
Eeh Mzee,
sasa ina maana magazeti ya Mengi yaliandika habari za uzushi?makanjanja bwana...watu hawana ushahidi..
tusubiri kuona watu wakilipa Fidia.Madhara ya siasa za Kuchafuana
Capo di tutti Capi Kuhani,
Anayetakiwa kusaini mkataba ni Katibu Mkuu na si waziri! Yeye ndiye accounting officer. Kujiingiza mawaziri kwenye hili matokeo yake ndiyo hayo tuliyoyaona Buzwagi!
Mimi sipingi waziri kuonyesha concern. Ninachopinga ni kuingilia utaratibu uliowekwa. Kwa kufanya hivi tunakosa wa kumlaumu mambo yakienda kombo. Waziri anasema yeye alifanya kwa nia njema tu na si mtaalamu. Wataalamu wanasema walishindwa kumpinga waziri kutokana na kumheshimu. Mwisho ya yote ndiyo hayo tunayoyaona kila siku; barabara zinajengwa anakotoka waziri wa infrastructure, vyuo vya elimu vinajengwa alikotoka waziri wa elimu n.k. Mbaya zaidi, kutokana na kuamini nia njema ya hawa wanasiasa, watendaji wanakubali business card kama ishara ya power of attorney! Wote hawa, bila shaka, walifanya hivyo kwa nia njema na uzalendo kwa nchi yao!
Amandla.........
Sasa hizi ndio hadithi za kusadikika!Hivyo basi nini kinafanyika? Anaongea na SEGIM tukutane tarehe 5 lakini hiyo ni tarehe 1 anarudi bongo na pass lake lakidplomasia anatulia tarehe 1 ,2 na 3 bongo.Harafu anachukuwa pass lake binafsi la marekani anakamata NISSAN lake huyo nairobi anachukuwa pipa lake lake pale anapiga mkutano wake wa saa 2 ama 3 anakamata pipa lake anashuka Nairobi harafu hapohapo anaunganisha na nissan lake anaiingia Tarime
kufanya ziara .
je Mhe Masha MB ana huhakika kuwa SAGEM hawana kesi ya rushwa Nigeria? je kama ushahidi ukiletwa kuwa SAGEM wana kesi ya rushwa ya ''mradi wa vitambulisho nigeria,yupo tayari kujiuzulu?
Masha ni kijana na Joseph Kusaga ni kijana wanaelewana kaka.
Quote:
je Mhe Masha MB ana huhakika kuwa SAGEM hawana kesi ya rushwa Nigeria? je kama ushahidi ukiletwa kuwa SAGEM wana kesi ya rushwa ya ''mradi wa vitambulisho nigeria,yupo tayari kujiuzulu?
- Mkuu Fairplayer, kumbe una akili sana Joe ndiye mmiliki wa Clouds, kwa mara ya kwanza Joe alipoenda kununua vyombo vya kisasa US, vya muziki wa disco lake, tulifuatana pamoja na tukafikia ka Masha, akiwa Georgetown kule DC in the 90s, sasa unafikiri Masha ni mjinga kwenda Clouds na sio kwingine?
- Angalia msije pata ugonjwa wa moyo wakuu! siamini kwamba keshop kutakuwa anything zaidi tu ya kumsafisha tena big time, naona wengi tummeondoka bongo siku nyingi.

Heheheheheheee...duh mazee na wewe bana....who don't you know? Lol
Kwa hiyo hapa ni mwendo wa kujuana juana na kulindana lindana, scratch my back I will scratch yours. Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba
- Mkuu wangu masa mbona ninakuaminia sana bro, rushwa ya Nigeria waziri ajiuzulu Tanzania are you serious au ni April Fool leo?
Mzee wa Sauti,
Hapa bwana nilikuwa naonyesha SAGEM wananuka rushwa Nigeria sasa kama Lau anawapigia chepeto Tanzania basi naye ni mla rushwa ni vizuri apumzike afanye kazi alobobea na aliyo na umahiri nayo ya sheria
Masanilo
- Mkulu mwenzangu Nyani heshima mbele bro, ndio maana JF siku zote tunakuwa tofauti na wengine wote katika this game, maana huwa tunawajua karibu wanaotengeneza habari za taifa letu kuanzia kwenye siasa na hata kwenye sekta zingine, sasa nilitaka tu kuweka ukweli kuhusu matumaini ya hiyo kesho,
- Anytime ukisikia kiongozi amekimbilia kwenye station flani na sio zingine basi ujue kuna sababu, kiongozi asiyekwua na sababu huita wote sikuwahi kusikia Mwalimu, akiita station moja tu!