Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Hahahaah mkuu nawe kwa mkwaraNimeshaisoma hii kwenye radar
Hahahaah mkuu nawe kwa mkwaraNimeshaisoma hii kwenye radar
Hapo kwenye JK and the Makamba's ni kweli, maana mahusiano yao yanarudi nyuma kipindi JK akiwa bado ni mwanafunzi. So kama usemavyo Makamba angeitwa tu tena siyo na JK bali baba yake. Inawezekana kuna watu wameamua kujipenyeza katikati ya kauli na ukilaza wa makamba na JK na hivyo kutengeza nyufa haribifuInawezekana lakini ninavyomjua JK na Yusuph Makamba
sidhani JK anaweza kutoa order kijana 'amalizwe'
nna uhakika JK angeongea na Yusuph Makamba kijana akaomba msamaha..
wasiwasi wangu ni kuwa kuna 'watu walikuwa wanamtafutia timing'
kwa hiyo wameona nafasi sasa....
Kijana anasifika kwa 'kujiona wa maana sana'
wanaita 'entitlement feelings'...
Hawa maadui wake walijikusanya siku nyingi
only now ndo wanamu attack...
kuna kitu still hatukijui
Naamini Lowassa anajuta sana kupoteza muda na waswahili....
Mkuu unaweza kututhibitishia umaskini wake ni nnpovu linakutoka kwa taarifa yako january hajiuzulu we utabaki na umasikini wako fanya kazi acha wivu wa kipuuzi
Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Sasa January yupo na Ruge wamejichimbia sehemu na Utitiri wa waganga wa kienyeji wanapanga jinsi ya kupangua mawe na kumkomoa mange na umoja wa Vijana unasukiwa Zengwe pia , Makamba baba Yao na yeye yupo busy na Ndumba hii ni Hatari wameamua kukomaa na nguvu za giza wakidhani watakwepa hilo JIPU .
Waune tuuuu.maana hakuna namnaaaaNiliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....
January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!
Binafsi huwa simpendi huyo binti ila kwa January nimemkubali coz huyo kijana anajifanya mjuaji mno ilhali ni mweupe kichwani!!!!
Wanajamvi naomba kuuliza hivi huyu mange baba yake ndio yule Kimambi aliyejiua kwa kunywa sumu chumbani kwenye hoteli yake sijui nyumbani kwake pale afrikana mkabala na Rafia? Je ndio yeye?
Mkuu mshana unambwembwee.radar yako inasemaje watachomoaaaaa[emoji33]Nimeshaisoma hii kwenye radar
Ni aibu sanaa kwa January kusema eti alimuombaa dadake helaa[emoji15]Kwa hiyo hicho kibinti kinatumiwa tu, sio?
Jambo ambalo nimekuwa nikilihisi kwa muda mrefu.
And who is to say na chenyewe hakilipwi....
Come again la frèreMagufuli ni lazima atawashangazeni watanzania kwa either kukaa kimya au kujitokeza na kuwatikaneni kuwa 'kuna mijitu mmekaa kimbea mbea tu, tenavwengi wenu wanaume, mnaacha juleta mawazo ya jujenga nchi ninyi mnatafuta jukwamidhana tu. Hivi mnadhani tukianza kunyoosheana vidole kuna nani wa jubaki' ( in Magufuli tone)
ndio hawa kweli, yaani
Mkuu tutake radhi au labda huwafahamu waswahili au hujui nini maana ya mswahili na kama kweli hilo ndio dai lako la msingi basi anza kwa kujitenga nao kijiografia usiishi katika maeneo yao ya asiliSikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....
Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....
Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?
Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....
Ni wanyama!!!
Sema EL kipenzi changu sio kuwasemea na wenzako mbona mm sio kipenzi changuMungu hulipa hapa hapa Malamba Na baba yake ndio waliopewa jukumu la kumtukana Kipenzi cha Watu Lowassa Mungu onyesha mapigo Kwa wote waliomtukana Lowassa
Pamoja na kuiba mtihani bado akapata division two tena combination ya arts....Mkuu kijana nimweupe kichwani tena sana sijui wanamkubali kwa lipi sijui ndo ndumba hizo
Hahahaha Mkuu ebu nipe historia yake ya elimu kidogo aliiba mtihani wapi aiseePamoja na kuiba mtihani bado akapata division two tena combination ya arts....
Wanaomuona smart ni wale ambao yeye ana afadhali kwao